Tukio la aibu! Sintolisahau!

Acha urongo Buji!

SIDHANI KAMA HII NI YA KWELI NADHANI NI STORY TU,MIMBA MWANAFUNZI WA PRIMARY?HALAFU MBAYA KWA HEADTEACHER?HALAFU MBAYA ZAIDI AKAKUTAMBULISHA MBELE YA WALIMU NA WANAFUNZI?sijui lakini!

<br /
Huyo ndio buji bwana.

We wa ajabu sana, tabia zako za ujivuni hujaacha kumbe??!!!
We unawachukulia teksi watu hawana hata Tsh. tano?!! NA unaonyesha hukupanga hata kuwatoa.
Ungewapa hiyo 14,000 wangegawana na kupanda daladala mia tatu.
Ndo maana ulipoteza pesa na jua walikumind kinoma huko mbele!

Hayo matukio ni very common!Wakati mwingine ukitoa assignments kwa wanafunzi wa kike,madaftari yakikusanywa unakuta barua za kutongozwa katikati ya daftari.

Wakati niko JKT kwa mujibu wa sheria nilikuwa nimejifanya mlokole ili kukwepa shuruba za maafande..Yaani hata nikijfanya serure (mgonjwa) wanaamini. Sasa kuna afande mmoja alikuwa mkali ile mbaya..push up nje nje..lakini kwa bahati nzuri alikuwa anatoka mkoa mmoja nami na mara zote alikuwa ananiita "poti" na mara nyingi alikuwa ananiomba niende kumwombea mke wake mgonjwa kwani aliamini "poti (kabila moja) mimi ni mlokole. Kwa upande wa pili mzee mzima nilikuwa mlokole feki rafiki wangu wa kike alikuwa kombania moja bila afande poti kujua ila maservice wote wa kombania walikuwa wanajua mimi mlokole feki..

Basi siku moja ..Afande Poti alikasirika ..akaanza kupigisha kwata na push up.kombania nzima. Wasichana wakavumilia wakachoka..wakaona ili jamaa awasamehe inabidi wawe wabunifu... Basi wasichana wa kombania wakaanza kuimba kwa sauti"SHEMEJI SHEMEJI UNATUUMIZAAAA! Afande Poti akaendelea"chini..juuu' nani shemeji yenu hapa.. .. Wasichana wa kombania wakaimba tena kwa sauti.. SHEMEJI UNATUUMIZAAA!..Afande Poti alipouliza tena.. Mimi shemeji yenu kwa nani.. wote wakasema "Poti mwenzako Zumbukuku ni mlokole feki ana demu wake huyu hapa kila siku anavunja amri ya sita..

Zumbukuku bila kusubiri kinachoendelea nilitimua mbio porini..kwani nilijua jamaa aliamini mimi ni mlokole kweli na mke wake atapona!

Hukuwa na na haja ya kuona soo hapo. Mi nashangaa sana, hivi kuna ubaya gani mkulima baada ya kufanya kazi nzito sana ya kuandaa mazao yake akaamua kuchukua hindi moja tu na kwenda kulitafuna?.

ebana ee!

Mzee ulikuwa na mashuti ya mbali?
anyways,unastahili hongera.
anastahili hongera wakati alimchezea mwalimu mpaka akamuharibu na hakuja kumuoa?.....acheni hizo

anastahili hongera wakati alimchezea mwalimu mpaka akamuharibu na hakuja kumuoa?.....acheni hizo
Hivi Nyie Hii Lugha ..''Kamchezea''..mnaitolea wapi??...Sasa kama kweli issue ya Buji itakuwa kweli na kwa Umri wa Mtoto wa Primary japo kasema alikuwa na 16 ukiiangalia kwa makini kati yake na Mwalimu huyu..nani KAMCHEZEA mwenzake??

Hivi Nyie Hii Lugha ..''Kamchezea''..mnaitolea wapi??...Sasa kama kweli issue ya Buji itakuwa kweli na kwa Umri wa Mtoto wa Primary japo kasema alikuwa na 16 ukiiangalia kwa makini kati yake na Mwalimu huyu..nani KAMCHEZEA mwenzake??
ni Buji alimchezea mwalimu....

ha ha haa.. ila asijal kupumua ni afya..

huyo mwalimu alivunja ethics za kazi yake...hawezi kukutangaza wewe

yaani mimi nakumbuka wakati niko la saba nilijikojolea brbrn mitumbani kawawa road nikiwa nauri hom from tuition jioni chanzo chake ni kutokojoa shuleni vyoo vichafu we ile kushuka kituoni kinondoni a from palmbeach natembea hadi kinondoni b ndo ilikuwa mitaa ya hom zamani mkojo ukaanza kidogo ukagonga chp we ckuweza uzuia tena ulitoka wote ikabidi nisiangalie watu kulia wala kushoto one way home duh nikikumbuka ni noma.
pia wakati niko form one bording kipindi cha dini nilichaguliwa kuimbisha nikackia kutoa hewa we nilijua itatoka ile ya kimyakimya e bwana wee iliyoachia hapo ilikuwa scud wanafunzi wote walickia kesho yake wacha waniimbe mchakamchaka niliona noma ckwenda class nikidai naumwa ni soo aibu ikikupata unatamani kurudisha muda nyuma urekebishe

Papa Bujibuji, duh!!! taratibu kaka.

Usiombe ukakutwa na hii hali..

Ilikuwa hivi wakati nasoma sekondari kuna demu mmoja alikuwa ameshafall in love kwangu,ila tu mimi nilikuwa sina time naye,sasa siku moja kaja class kanikuta sina habari,kanipiga busu hadharani kila mtu darasa zima kaona,ebwanaee niliona noma vibaya!!Vp ingekutokea wewe mwanajf!!!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…