Tukio hili limetokea kwenye hifadhi ya Serengeti

Tukio hili limetokea kwenye hifadhi ya Serengeti

Dalton elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
780
Reaction score
1,831
Kumekuwepo na video zinasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania zikionyesha magari yakisombwa na maji katika mto.

Baadhi ya watumiaji wa mitandao hiyo wametoa maoni wakidai kuwa tukio hilo limetokea katika Hifadhi ya Serengeti nchini Tanzania.


Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Ashatu Kijaji, ametembelea maeneo yaliyo athiriwa na mvua zinazo endelea kunyesha, katika baadhi ya maeneo ya hifadhini ya Serengeti na kujionea athari zilizo tokana na mvua hizo.

Waziri kijaji amesema tayari Serikali imetenga zaidi ya Bilioni 8 kwa ajili ya maboresho ya miundombinu na kusisitiza Waongoza watalii kuwa wazalendo kwa ajili ya Taifa.


 

Attachments

  • 1772800274617.png
    1772800274617.png
    408.3 KB · Views: 5
Kitendo cha Tour Guide Kulazimisha kuvusha Gari Mahali ambapo palikuwa na Hatari ya Maji ni hatari kubwa mnoo. Kwani wangepata hasara gani kurejea mahli walikotoka ili kuepusha maafa? Inatakiwa serikali iwachukulie hatua hao waongoza watalii wasio na utu

Kosa Lingine La Ki ufundi lililofanyika ni Kuchukua Video then Ku Post iende viral.

Unajua Kuna Kitu kimoja ambacho watu wengi hawaelewii kuna Vita Kubwa sana ya Biashara ya utalii kwenye Hii Corridor ya East Africa na Sisi Competitor wetu Mkubwa ni Mkenya.
 
Back
Top Bottom