Tukio gani mwaka 2016 hutolisahau?

Tukio gani mwaka 2016 hutolisahau?

Zikiwa zimebaki siku 26 tumalize mwaka binafsi katika ma tukio sinto yasahau ni haya;

1) Kuanzishwa kwa madodoso ya mikopo.
2) Harakati za UKUTA.
3) Misaada kwa ndugu zetu wahaya.

go ahead.
Wahaya walitaka msaada gani, lini na wa kazi gani?
 
uchaguzi wa zanzibar na elimu bure®wanafunzi wote wa elimu ya juu kupata mkopo mwisho heshima kwa jecha dah inauma
 
Mke wa fulani Kulazwa Muhimbili siku tatu bila mwenye mke kuonekana.

Kuahirishwa mara mbili kwa maandamano ya kupinga udikteta Uchwara.

Vyombo vya Mwenyekiti wa Ufipa saccos Kutolewa Nje..

Mtu kumuota Rais Atakufa huku yeye akiishia lupango.

Lizaboni kuwa mkurugenzi wa Wilaya Fulani.

Laki si Pesa kurudi CCM

Ng'ombe waliokatwa mikia kukosa ubalozi hata wa nyumba kumi.

KUPELEKWA SOMALIA KWA KIPINDI CHA MIEZI MINNE.

nashukuru nilirudi salama
 
Back
Top Bottom