johnson Natrix
Member
- Jul 27, 2016
- 16
- 12
Daaah! Nilikuwa nakimbilia kucomment hiv hiv hili zoezi kuna viongozi wa nchi wengi nimewatukana kimoyo moyo zaidi ya Mara 1000 mwaka huu.Uhakiki wa watumishi usio isha. Kila siku mnakaguliwa vitu vilevile vya siku zote wakati taarifa zetu zipo masijala kwenye mafaili na kwa afisa utumishi.
ha ha ha na bado mkataguliwa hadi sehemu za siriniUhakiki wa watumishi usio isha. Kila siku mnakaguliwa vitu vilevile vya siku zote wakati taarifa zetu zipo masijala kwenye mafaili na kwa afisa utumishi.
RambiramiZikiwa zimebaki siku 26 tumalize mwaka binafsi katika ma tukio sinto yasahau ni haya;
1) Kuanzishwa kwa madodoso ya mikopo.
2) Harakati za UKUTA.
3) Misaada kwa ndugu zetu wahaya.
[emoji57] go ahead.
we n mwanamke kweli maana hyo kauli imeniacha hoi...Umeniwahi
Kummamake hili ndo limenikera kwa mwaka mzima unaoisha.
Mimi binafsi kwa mwaka huu 2016 sitosaau nilivyo-experience maisha magumu chuoni...daaaah nimeyumbishwa Sana haswa maswala ya mkopo...hadi nilikata na tamaa....aseee....nilitamani nikae juu angani niwaambie bodi ya mikopo jinsi ninavyolia ...daaah huu mwaka hapana kwakweli....ila ngoja nisikilize appeal yangu...nikinyimwa tena huu mwaka ujao hautokuwa tofauti na uliopita...Zikiwa zimebaki siku 26 tumalize mwaka binafsi katika ma tukio sinto yasahau ni haya;
1) Kuanzishwa kwa madodoso ya mikopo.
2) Harakati za UKUTA.
3) Misaada kwa ndugu zetu wahaya.
[emoji57] go ahead.