Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,871
- 6,477
😅😅😂😂😂😂 daaah umebold kabisa na kwa maandishi makubwa kusisitizaTUKIO LA TOZO NA CHANJO HALIFUTIKI KICHWANI KWANGU
R.I.P JPM
ACHA TU CHIEF😅😅😂😂😂😂 daaah umebold kabisa na kwa maandishi makubwa kusisitiza
Daaaah pole sana mkuuACHA TU CHIEF
Sawasawa mkuuNimepitia mengi magumu na mengine mazuri tu. Good thing ni kuwa najua hakuna kitu au hali ya kudumu hapa duniani so nilipokuwa katika nyakati ngumu nilijua zitapita na nilipokuwa katika nyakati nzuri nilijitahidi kuzifurahia vilivyo maana nazo nilijua zitapita.
Bado nasonga.
Shukrani yote Mema, tumuombe Mungu atujalie 2022 salama huku tukimshukuru kwa 2021Daaaah pole sana mkuu
Sawasawa ashukuriwe munguMungu alijibu maombi yangu ya miaka mingi mwezi wa 3
Duuu sawa sawaOnly God knows! Aisee sad ago
[emoji1][emoji2][emoji1] nmecheka km mazuri.Mimi kubwa zaidi kwangu nilikuwa na mchepuko wangu ambaye alinipenda sana hata siwezi simulia. Huyu dada wako mapacha na mwenzeke Tena wale wa kufanana hasa. Mwenzake ameolewa Sasa Kuna siku watu wasiojulikana na hawawajui hawa pacha waliniona niko na mchepuko wangu si wakaenda kwa jamaa kumwambia mkeo anatoka na mhakiki. Bwana lilitokea timbwili la asha ngedele na halijaisha ninahama nalo kwenda 2022. Yaani hawa pacha hawa acha kabisa.