😀😀😀 oblongata ilikuwa haisomiNilikuwa ninasikiliza kipindi cha kweli na Aspro, niliangusha redio, wakati ninaiokota Julius Kilua mtangazaji alisema tumeanguka. Nilikimbia kwa mama mama mama kumbe kuna watu wanaishi kwenye redio, alinielewesha lakini ilinichukua muda sana kuelewa ile coincidence ya mimi kuinua redio na mtangazaji kujua kuwa walianguka!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa stendi bhana, huishiwi visa wewe... Napenda sana thread zako