tukigeuka wakina mama mtafumba macho..

Akinamama hawawezi kufumba macho, ushahidi ninao: Angalia yule mwisho anavyoangalia sinema ya bure.
 
Hili zoezi lina raha yake lakini,mtazame huyo jamaa wa 4 toka kushoto anavyosikilizia....
 
Huyo wa nne kutoka kushoto vp tena au amejibana na zipu?

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Jamani mimi huyo wa nne kutoka kushoto anasikilizia nini? au mkojo unauma ana kichocho teh teh, chezea maji yaliyotuama yeye
 
Wa saba kutoka kushota naona kaweka ukuta ili huyo mmama wa asipige chabo
 
wanashindana hao,umeona walivojipanga! Mshindi wa nne kutoka kushoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…