Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 15,849
- 36,141
Wakuu nimekuwa mtumiaji wa hii mifumo miwili inayobeba devices nyingi duniani kwa maana ya Ios na Android kwa muda mrefu sasa!
Nilichokuja kugundua hawa jamaa wa ios walitumia akili nyingi sana na ndo maana mpaka leo wameendelea kuwa relevant! Ukija upande wa pili yaani Android ni kwamba wamekuwa hawana jipya kabisa, mbaya zaidi huo mfumo ulivyoachwa kuwa open source mpaka "shit phones" nazo zimedandia humo humo!
Kifupi advantage ninayoiona kwenye android ni uwezekano wa kutumia mod apk(ambalo sio jambo la kujivunia). Ila kwa kifupi official apk za ios ni way better kuliko android, android zimejaa takataka za kila namna.
NB: Nina device zote mbili za ios na android ambazo ni high end, kwahiyo najua ninachokisema!