Kama Ujerumani. Vipanga ndio waalimu.ST. Francis Girls secondary school Mbeya ina Division one za point saba 80 kati ya wanafunzi 90 darasani, Kumi waliobaki wana diviosion one ya point nane na tisa...
Division one yako ya 7 imekusaidia nn, au una Chet chenye dvsn one siyo kichwa kilichopata dvsn one maana unalalamika mno inaonekana dvsn zero wanakukimbiza kwenye real life la kitaa😂😂Mkuu wana ccm wengi tuna Division one za point saba...
Sasa kigezo si ndio ufauluKati ya hao wanafunzi 90 huenda tusipate "mjasiriamali" hata mmoja. Mjasiriamali ni mtu anayewekeza muda na nguvu zake kutatua tatizo au matatizo fulani ndani ya jamii yake...
Unaungana na diktetaST. Francis Girls secondary school Mbeya ina Division one za point saba 80 kati ya wanafunzi 90 darasani, Kumi waliobaki wana diviosion one ya point nane na tisa...
sio rahisi, St. Fransic wanafanya biashara ya huduma, ambapo wamewekeza pesa nyingi ili wapate faida. Wakati shule za kataa hawafanyi biashara bali wanatoa huduma ya bure. Kwa hiyo hilo swala haliwezekaniST. Francis Girls secondary school Mbeya ina Division one za point saba 80 kati ya wanafunzi 90 darasani, Kumi waliobaki wana diviosion one ya point nane na tisa..
Shida sio wenye ufaulu mzuri shida ni mazingira ya kujifunziaST. Francis Girls secondary school Mbeya ina Division one za point saba 80 kati ya wanafunzi 90 darasani, Kumi waliobaki wana diviosion one ya point nane na tisa..
Mimi furaha yangu na kukimbiza kwangu ni pale Chadema inaposhindwa uchaguziDivision one yako ya 7 imekusaidia nn, au una Chet chenye dvsn one siyo kichwa kilichopata dvsn one maana unalalamika mno inaonekana dvsn zero wanakukimbiza kwenye real life la kitaa
Huwa wanawachuja wanachukua tu cream tu hapo shuleni kwao...
Wasingeongozwa na waalimuMkuu wana ccm wengi tuna Division one za point saba....
Wewe ni mjasiriamali wa kitu gani? Na upo wapi sasa hiviKati ya hao wanafunzi 90 huenda tusipate "mjasiriamali" hata mmoja. Mjasiriamali ni mtu anayewekeza muda na nguvu zake kutatua tatizo au matatizo fulani ndani ya jamii yake...
Kiwe kigezo mojawapo, siyo kigezo pekee.Sasa kigezo si ndio ufaulu