Lazaroh Jr
New Member
- Feb 9, 2017
- 4
- 3
Habari Jamii, Ombi langu ni kuwa tukapige kura asilimia kubwa ya vijana huwa wanalalamika lakini hawapigi kura, tukapige kura?
Tujipe poleWengine tatizo hatujarudi tulikojiandikishia.....
Mtuwakilishe tu hakuna namna
SAA mingi tuko kituoni,vifaa havijawasili mpaka muda huu.Habari Jamii, Ombi langu ni kuwa tukapige kura asilimia kubwa ya vijana huwa wanalalamika lakini, hawapigi kura, tukapige kura?
Nilikuhamu! Ulikuwa wapi..?Wengine tatizo hatujarudi tulikojiandikishia.....
Mtuwakilishe tu hakuna namna
SAA mingi tuko kituoni,vifaa havijawasili mpaka muda huu.
Kumbe tuko wengi, na vile mvua imenyesha tena basi ni JF tuWengine tatizo hatujarudi tulikojiandikishia.
Mtuwakilishe tu hakuna namna
Toka alfajiri nipo kituoni na familia kumkaanga mtu bado wife amalizie kumkaanga tujue tunaenda chimbo lipi tulinde kura zetu asee...ulinzi unatisha kuwatisha wapiga kura tuko kimyaaa tunakimbiza mwizi kimya kimya.SAA mingi tuko kituoni,vifaa havijawasili mpaka muda huu.
Sio kupiga kura tu. Bali ni kupiga kura dhidi ya dhuluma, unyanyasaji na mauaji.Habari Jamii, Ombi langu ni kuwa tukapige kura asilimia kubwa ya vijana huwa wanalalamika lakini, hawapigi kura, tukapige kura?
Kupiga sio kazi kazi kuzilindaHabari Jamii, Ombi langu ni kuwa tukapige kura asilimia kubwa ya vijana huwa wanalalamika lakini, hawapigi kura, tukapige kura?
Kapige kura ya urais kuna fomu utapewa unajaza unapiga. Ila utopiga ya ubunge na udiwani.Wengine tatizo hatujarudi tulikojiandikishia.
Mtuwakilishe tu hakuna namna
Nishapiga kura yanguSio kupiga kura tu. Bali ni kupiga kura dhidi ya dhuluma, unyanyasaji na mauaji.
.
.
TUMECHOKA KUFOKEWA
Kapige mkuuSawa tutafanya hivyo
Safi mkuu Kwa kukumbusha watu.mda bado upo mpaka saa kumi.Habari Jamii, Ombi langu ni kuwa tukapige kura asilimia kubwa ya vijana huwa wanalalamika lakini, hawapigi kura, tukapige kura?
Mkuu kuna fomu unajaza pale kituoni na utapewa karatasi ya urais tu kupiga kura. Nenda kapige kuraTujipe pole