The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 35,612
- 108,703
Acha kuharibu thd,hizo personal issue si umfuate PM?Nilikuhamu! Ulikuwa wapi?
Acha kuharibu thd,hizo personal issue si umfuate PM?Nilikuhamu! Ulikuwa wapi?
Mkuu Kwenye kituo nilichopiga mimi kura nimeona wanafunzi wa shule flani ya sekondari mpaka nimeshangaa.Nimefarijika kukuta idadi ya vijana na wanafunzi ni kubwa kituoni.
Ndiyo zake huyoAcha kuharibu thd,hizo personal issue si umfuate PM?
Utakuta ni vile vivulana ambavyo ndio kwanza vimebalehe.Ndiyo zake huyo
KabisaUtakuta ni vile vivulana ambavyo ndio kwanza vimebalehe.
BarikiwaView attachment 1614424
Tayari mdaaaaa.
Huyu dogo nimemuona kwenye thread nyingi anafanya huu upupu wake.Utakuta ni vile vivulana ambavyo ndio kwanza vimebalehe.
NEC wameikataa hiyoMkuu kuna fomu unajaza pale kituoni na utapewa karatasi ya urais tu kupiga kura. Nenda kapige kura
😂😂 Sasa mkuu Kama majibu tayari unayo kwanini Sasa unanishauri.. halafu ulivyo Kobe hujui member wengine hufunga pm zao! Sasa we jua ni barehe tu inanisumbua.Utakuta ni vile vivulana ambavyo ndio kwanza vimebalehe.
Mkuu leo Kwa macho yangu mmasai mmoja amepiga kwenye kituo chetu na akawekwa mbele yangu baada ya yeye nikapiga mimi.NEC wameikataa hiyo
Sidhani Kama ipo haja ya nyinyi kujadili vitu ambavyo haviwaumizi! Mods hawajawahi lalamika hata hao naowafata hawajawahi lalamika!... Vitu vidogo mnavifanya kuwa vikubwa jadilini yanayowahusu na sioni haja ya nyinyi kujisumbua na upumbavu wa mtu otherwise nanyi kama ni mmoja Kati yao.Huyu dogo nimemuona kwenye thread nyingi anafanya huu upupu wake.
We jamaa wewe hahahahahahaaa ndiyo toka jana mada kibao miss you nyingi na umekiri aelewe barehe inakusumbua. yaani nimecheka Kwa saut mpaka mtoto wangu ameniuliza baba unacheka nini. KENZY wewe daah.😂😂 Sasa mkuu Kama majibu tayari unayo kwanini Sasa unanishauri.. halafu ulivyo Kobe hujui member wengine hufunga pm zao! Sasa we jua ni barehe tu inanisumbua.
grow up.😂😂 Sasa mkuu Kama majibu tayari unayo kwanini Sasa unanishauri.. halafu ulivyo Kobe hujui member wengine hufunga pm zao! Sasa we jua ni barehe tu inanisumbua.
Mkuu mtu tayari anamajibu Sasa kwanini ananidis!! Vipo vitu vingi mno vya kuhangaika maisha lkn si hivi vya kumwambia mtu nimekuhamu kwenye thread!We jamaa wewe hahahahahahaaa ndiyo toka jana mada kibao miss you nyingi na umekiri aelewe barehe inakusumbua. yaani nimecheka Kwa saut mpaka mtoto wangu ameniuliza baba unacheka nini. KENZY wewe daah
Sio muda husika.. ukifika nita grow upgrow up.
Hakuna mtu anayetaka kukujadili wewe,ujadiliwe kwa lipi hasa? unashauriwa tu kua uache kuharibu thd za hapa JF,watu wanajadili vitu serious unaingiza utoto?kaa chini jitafakari kisha jihurumie halafu badilika,ukishindwa anzisha thd yako special yakua unaandika hivyo vituko.Mkuu mtu tayari anamajibu Sasa kwanini ananidis!! Vipo vitu vingi mno vya kuhangaika maisha lkn si hivi vya kumwambia mtu nimekuhamu kwenye thread!… Kwangu hicho ni kituko Cha ajabu kweli huezi poteza muda wako kuja kumjadili kenzy kwa kuwaambia watu anawahamu yapo ya maana mengi mno ya kufanya Bora mtu akasome hata vitabu huko vipo vingi mno. Wao ndo wanahitaji ushauri..😂
Mkuu Kwenye kituo nilichopiga mimi kura nimeona wanafunzi wa shule flani ya sekondari mpaka nimeshangaa.
Kabinti kanatoka kanawanong'oneza wezake nimechinja.nasema hivi kizazi hiki ambacho akitamki ccm imenilea inatakiwa kwenda nacho Kwa Hekima kubwa sana kwenye kukiongoza




Sawa sawaKapige mkuu