Tukanunue mafuta Urusi?

Tukanunue mafuta Urusi?

OLS

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2019
Posts
457
Reaction score
773
Vita vya Ukraine na Urusi havina uwezekano wa kuisha hivi karibuni. Sanctions zilizopigwa zina athari kubwa kwa nchi zinazoendelea kuliko zilizoendelea.

Kama tutaenda kwa falsafa ya Marekani ya kutokuwa na adui wala rafiki wa kudumu, nadhani huu ni muda wa kutumia uhuru wetu. Bila kupepesa macho kwa hali ilivyo bei za mafuta zinaweza kufika 5k kwa lita miezi kadhaa ijayo ambapo hali itakuwa ngumu kwa waliowengi.

Je, tukubali hali za wananchi kuwa mbaya kwa vita ambayo tumekuwa Neutral kusema tuko upande gani?

Nini kinatuzuia kununua wese Urusi?

Hali hii inapoendelea ongezeko la mishahara kwa watumishi lililowekwa linaweza lisiakisi ongezeko la bei ya bidhaa. Nauli zilishapanda, zitapanda tena na kuathiri watu.

Kipi kinatukwamisha kununua mafuta Urusi?
 
Marekani na nchi zingine hawataki nchi zifanye biashara na Urusi. Endapo tukinunua mafuta huko means tunautangazia Ulimwengu kua sisi ni Rafiki wa Urusi. Hapo ndipo ule usemi wa "Rafiki wa Adui yako nae ni Adui yako" utakapotumika kutuadhibu.
 
Ulimsikia Museven juzi?
 
Hata ununue nje mafuta lita kwa hela ya kitanzania tsh 400 huko ukileta huku utauziwa 3500

WAFANYABIASHARA SAHVI WAMEDHAMIRIA KUFANYA BIASHARA YA MAFUTA

HAMUONI WATU WANAVYO FUNGUA
VITUO VYA MAFUTA

ova
 
Vita vya Ukraine na Urusi havina uwezekano wa kuisha hivi karibuni. Sanctions zilizopigwa zina athari kubwa kwa nchi zinazoendelea kuliko zilizoendelea.

Kama tutaenda kwa falsafa ya Marekani ya kutokuwa na adui wala rafiki wa kudumu, nadhani huu ni muda wa kutumia uhuru wetu. Bila kupepesa macho kwa hali ilivyo bei za mafuta zinaweza kufika 5k kwa lita miezi kadhaa ijayo ambapo hali itakuwa ngumu kwa waliowengi.

Je, tukubali hali za wananchi kuwa mbaya kwa vita ambayo tumekuwa Neutral kusema tuko upande gani?

Nini kinatuzuia kununua wese Urusi?

Hali hii inapoendelea ongezeko la mishahara kwa watumishi lililowekwa linaweza lisiakisi ongezeko la bei ya bidhaa. Nauli zilishapanda, zitapanda tena na kuathiri watu.

Kipi kinatukwamisha kununua mafuta Urusi?
Umeongea point. Mbali na vikwazo kwa Urusi, bado Marekani ananunua mafuta Urusi. Bado ulaya wananunua gesi Urusi.
Wewe bado unaambiwa usinunue tumiwekee vikwazo. Waafrika amkeni
 
Back
Top Bottom