njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,084
- 8,663
sote tunajua Morrison akifanya kitu lazima update ya CAS ije maana pale utopoloni hakuna cha wakili msomi,engineer,tajiri mwenye mijengo na ma lorry ya kufa mtu wote akili zao kama za Bumbuli au Juma khatib a.k.a Antonio Nugaz.
Kwa kifupi sema kwamba wakili msomi BM 3 kazua balaa huko kirumba ili kuwatuliza mashabiki wa utopoloni lazima tamko kali litoke kesho au leo usiku huku likiwalaumu TFF.
Kwa kifupi sema kwamba wakili msomi BM 3 kazua balaa huko kirumba ili kuwatuliza mashabiki wa utopoloni lazima tamko kali litoke kesho au leo usiku huku likiwalaumu TFF.