Tujuzwe hatua ya ujenzi wa Ihungo

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
17,034
7,590
Tuliambiwa UJENZI itakuwa umekamilka Machi na leo ni Juni. Uchaguzi wa wanaoingia darasa la 13 umefanyika na haionekani kama hizi shule zimepangiwa watu.

Wahusika wa haya mambo mazuri watusaidie
 
Back
Top Bottom