Mliweka mpira kwapani leo mnajipendekeza un nyambafu mwacheni shein apige kazi nchi imetulia sana
Tetesi ni kuwa wananchi wa zanzibar wanafanyakazi na biashara kama kawa
Yaani unauliza au umeainisha sala zako?
Yaani ni sawa na kupiga simu kwenu alafu akipokea nduguyo unaanza kumuuliza "enhe niambie....nasikia Baba yupo hoi, miguu imevimba, amegoma kula, anapumua kwa shida, Waganga wamemshindwa, hafungui macho, amekata kauli,anakufa lini?"....
Majibu yote soma noticeboard kisonge.
Actually mimi hatari ninayoiona ni hii ya maji ya Bahari kuanza kuingia nchi kavu.....Zanzibar ni kisiwa na Dunia inaathirika na Global warming....nimemsikia jamaa anajieleza lakini nature itabaki nature.
Na wale mnaopenda wimbo wa Muungano.......nadhani mngeanza kufikiria kuwa na familia Bara kabla hamjashtuka kuwa population inakuwa huku ardhi inapungua....badala ya nyimbo za cuf na ccm kila kukicha.
Huwa sipendi hii mijadala ya Zanzibara, sijui cuf hivi ccm hivi....Umetusaiia taarifa nyengine.
Bado nenda kwenye mada jee kuna ukweli wa alichotonya mwandishi au hakuna?
Pengine mwenzetu una alergie ya CCM na CUF
Huwa sipendi hii mijadala ya Zanzibara, sijui cuf hivi ccm hivi....
maisha yanaenda vizuri sana,,, wananchi wanaipenda sana serikali yao na rais wao kipenzi Shein... kiufupi maisha ya Zanzibar ni kama Dubai vile..
Duh Kisonge unaisikia au basi? Kisonge ndio kilele cha hate speech Zanzibar. Statement moja tuu ya Kisonge hapa, tosha kupigwa life ban JF. Tuwaheshimu Wanzazibari kuonesha uvumilivu mbele ya matusi na kudhulumiwa mchana kweupu .Ungetusaidia hayo ya kisonge kwa faida ya wasomaji na wachangiaji wa JF
Ok...Nakushauri ungenyamaza si lazima kuchangia
Kwa hiyo CUF wangeshinda dawa zingepatikana?
Wewe ushaambiwa ukiuziwa sukari zaidi ya sh 1800 kwa kilo toa taarifa watu wanyooshwe sio kulalamika
Mimi niko Zanzibar na ni shwari kabisa. Sanasana miradi mbalimbali ya barabara inaendelea. Mataa yanafungwa barabara zote. Kwwaujumla maendeleoa ni kwa kasikwasasa!huo ni uongo mkuu. Zanzibar mambo safi sana