Tujuzane nyimbo nzuri za kihindi

Tujuzane nyimbo nzuri za kihindi

TIASSA

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
3,103
Reaction score
3,951
Huwa napenda nyimbo za kidosi zina melodies nzuri karibuni tujuzane nyimbo nzuri mpya na za zamani
Mimi naanza na hizi..
1- tere sang yaara
2- Sabu tera



Dil chura le


Sub teraa
 
Wekeni na link kama vipi
 
Loooh very nice songs, napata vipi kuidownload, I mean the programme
 
Tangu demu langu la kihindi la iringa liolewe nairobi kenya na watengeneza movie. Nimetokea kuyachukia sana hayo Mapimbi
 
Kuna app ina itwa Vidmate
Ipakuwe hiyo yaani utafaidi kila chochote zaidi ya u tube
 
Duh Leo mmekuja huku, nakumbuka move za kihindi za kina mituni chakalabotii, sun deo, asee zilibamba miaka hyo...

Kulikuwa na move kama ghataki... Humo ndani kacheza MTU mzima sundeo, PC zima hakuna kucheka, INA nyimbo kama 3 hv ila bonge LA move

Miaka hyo 1990s wengi him mlikiwa bado mnanyonya....
 

chek ngoma hiyo by boby deol & pretty zinta solder
 
1. Mdogo mdogo by Dayamondu..ah..!
Kumbe mmesema za kihindi..!!!
 
Download video oder haipo play store hii ndiyo itakayo kueezasha kudownload video za youtube
 
Back
Top Bottom