Tujuzane mipangilio(setting) mhimu kwenye simu zetu, hasa developer options

DEMO MODE, Inahusisha kubadilisha mwonekano wa TASKBAR,pale juu kama network.Ukiweka DEMO MODE ON halafu chini ukaruhusu SHOW DEMO MODE utaona inakuonyesha alama ya WI-FI pekee kwenye networks signs,alama za Mtandao kutoka Mobile carrier/operators Kama TIGO, VODACOM, HALOTEL, AIRTEL, hazitaonekana.
 
DEBUGGING Kwenye USB DEBUGGING ukiweka ON, hiyo inamaanisha unaweza ku install APP yoyote kwenye simu yako kwa kutumia Computer ya Windows au Apple kwa USB CABLE.Hiyo imeweka kwa kuwa Kuna baadhi ya APPS ili uwe nazo inakubidi utumie PC.

Na ukitaka ku ROOT smartphone pia kwa kutumia APPS za PC,na pia Ku CRACK PASSWORDS.
 
INCREASE READABILITY IN SUNLIGHT,hapa ukiwa sehemu yenye mwanga wa jua,kama nje simu yako itajiongeza mwanga automatically kulingana na mahitaji ya uoni wa sehemu husika.
 
Endeleeni kutupa shule asee....
 
SELECT USB CONFIGURATION,hapa ukichomeka Smartphone yako kwa kutumia USB kwenye MEDIA yoyote,kwa mfano PC automatically itafanya chaguo lako automatically kama ni ku Charge only,MTP (Media Transfer Protocol),PTP (Picture Transfer Protocol),RNDIS (USB Ethernet),Audio source au MID.
 
SHOW BLUETOOTH DEVICE WITHOUT NAMES.

Ukiunganisha BLUETOOTH devices kati ya yakwako na nyingine hazitaonekana kwa majina, zitaonekana kwa IP ADDRESS TU.

ENABLE IN-BAND RINGING.

Hii inamaanisha Ukiwa kwa mfano umeunganisha Bluetooth yako kwenye spika,miito (ringtones) ,na calls zitasikika Kwenye hiyo spika.
 
BLUETOOTH AUTO CONNECT.

Ukifika mahali kuna Bluetooth audio device,yakwako ikinusa tu tayari itaungana na hiyo device.Unaweza kucheza nyimbo,movies,podcasts zitasikika Kwenye spika.
 
INPUT:

SHOW TOUCHES.
(1)SHOW VISUAL FEEDBACK FOR TOUCHES.
Hapa kila ulipogusa kwenye screen yako kuna alama ya doa inajitokeza kuonyesha ulipogusa.Angalia hiyo video,na kwenye picha pia kuna hiyo alama kuonyesha nilipogusa na kidole.
 
DRAWING:
(1)SHOW SURFACE UPDATES
Kunakuwa na mwanga wa flash,kila utendaji kazi wa smartphone yako unapofanyika, angalia video
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…