wana wivu uliopitiliza,theni ni wababe sana ukimletea ujinga anaweza hata kukuchoma kisu,kwaio ukiwa nae inabidi ukicheche uweke kando,pia ni wasafi sana,na hata kupika wanajua,kwa ujumla ni mafundi wa mambo ya unyumba na pia wengi wana vipaji vya akiliHabari za mchana wanajamii, kuna rafiki yangu kapata mchumba wa kike MKEREWE, hangependa kupewa hints kuhusu tabia zao. Pamoja na sifa zao ikiwemo kuhusu mapenzi.