Tujuzane kuhusu fani ya urubani

Abuu Abdurahman

JF-Expert Member
May 9, 2017
1,447
1,770
Habari zenu wana jamvi na poleni na machofu ya mchana kutwa...
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, naomba kujuwa kuhusu fani ya urubani gharama zake mpaka kufikia rubani wa ndege za umma katika nchi kama vile kenya, South africa, America nk (NB: lakini isiwe ndani ya Tanzania) pia kama kuna scholarship zinatolewa kwa fani ya urubani pia tujuzane pamoja na vyuo vinavyotoa....
Naomba kuwasilisha
Ahsanteni
 
Please check me at 0625755889
 
Bro sio boda boda ile embu acha utani,UMU WENGI WENU NI MADEREVA WA MAGUTA NA TAX KIDOGO ,peke yangu ndio nafanya umwagiliaji kwa ndege katka mashamba ya mpunga uku mbalali.
 
Nenda pale Banana kwenye Jengo la Aviation Uliza utapata kila unacho taka kujua.
 
Back
Top Bottom