Tujuzane kuhusu E-commerce [Maswali, Shuhuda, Ideas]

Na develop Payment system kwa ajiri ya ku accept malipo mtandaoni kwa njia ya Mobile Money kama Mpesa, Halopesa, Tigopesa, Airtel money (Mtandao wowote ulio na huduma ya Mobile Money)

Haitotumia Third party APIs za mitandao husika,

Haito deal kabisa na pesa yako

Hii ni overview ya system kwa ufupi na the way itakavyo fanya kazi

1.Buyer ana visit store yako
2.Ana click product atakayokua interested nayo
3.At enda kwenye check out page
4.Ata chagua payment method, (naiita Lipal)
5.Atachagua mtandao wake(Mpesa,Halopesa etc)
6.Ata lipia kama anavyolipia normally kulingana na USSD codes za mtandao wake
(Namba ya malipo ni Namba yako ya simu, sharti uwe angalau ni mitandao ya simu mitatu tofauti, in this case utaweza accepts pesa kutoka kwa buyers wenye hio mitandao)
7.Lipal itamtaka aweke namba ya muamala ambayo huwa ina tumwa kawaida na mtandao husika baada ya kutuma pesa
8.System ita validate muamala, na kuendelea na flow nyingine ya store yako

Pesa yako utapokea kawaida tu kama unavyopokea pesa yoyote unayotumiwa via Mobile money bila makato Wala kuchelewa

Kwa hii Payment yoyote mwenye e-commerce store au website itakayotaka ku accept payments online itaweza

Advantages kubwa ni kuwa haitohitaji third-party APIs wala ku handle pesa ya mtu yoyote

Jinsi gani sasa itafanya kazi siwezi weka
Hello mkuu naomba mrejesho kuhusu hii, kama iko tayari. Ni PM
 
Back
Top Bottom