I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,734
- 10,047
Tuanze kuchunguza kwanza Samaki wakike au wakiume kweli mkuu?? au una maanisha nini kwenye maoni yako?SAMAKI WA KIKE
Itakuwa rahisi kwa wakazi wa Kigoma lakini.Huwa nasikia mgebuka ni mtamu sanaa. Sijawahi kumla nitamuonja siku moja nione.
Ila mgebuka wanasema wenyewe watu wa Kigoma upate yule fresh aliyetoka kwenye maji siyo samaki aliyekaa kwenye mafriji wiki
Haha sawa mkuu.Mimi huwa nachanganya wote
Kwani wewe inamaanisha nini?Haha
Tuanze kuchunguza kwanza Samaki wakike au wakiume kweli mkuu?? au una maanisha nini kwenye maoni yako?
Salam kwenu.
Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua
Je, ni samaki gani MTAMU kuliko wote? MTAJE!
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________
wajapani wanapenda sanasana kula samaki wa bichi kama vile salmon, trout n.k. pamoja na sausi au mustardSalam kwenu.
Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua
Je, ni samaki gani MTAMU kuliko wote? MTAJE!
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________