I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,726
- 10,020
- Thread starter
- #41
Bila shaka upo sawa kabisa mkuu nimeonja samaki kadhaa wa baharini hawajanibariki kivile.....ingawa kiafya wataalam wanashauri ulaji wa samaki hao sijui kwa nini.Samaki wote wa maji baridi ni watamu.