Tujuzane: Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote?

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,701
9,934
Salam kwenu.

Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua

Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote? Mtaje !
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________
 
Huwa nasikia mgebuka ni mtamu sanaa. Sijawahi kumla nitamuonja siku moja nione.
Ila mgebuka wanasema wenyewe watu wa Kigoma upate yule fresh aliyetoka kwenye maji siyo samaki aliyekaa kwenye mafriji wiki
Itakuwa rahisi kwa wakazi wa Kigoma lakini.
 
Salam kwenu.

Si mjuzi sana katika nyanja hizi..hivyo naomba kujua

Je, ni samaki gani MTAMU kuliko wote? MTAJE!
1. Changu
2. Sato
3. Kibua
4. Sangara
5. Kambare
6. Perege
7. Migebuka
8. Pweza
9. ________
wajapani wanapenda sanasana kula samaki wa bichi kama vile salmon, trout n.k. pamoja na sausi au mustard
sisi Wachina tungependa carp(kupikwa na sausi na pombe) na grass-carp(kupikwa na maji tu halafu kuweka mafuta na pilipili) [grass-carp kupikwa namna hii yaitwa 水煮鱼]
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom