Tujuzane bei ya mafuta ya kula huko ulipo

Tujuzane bei ya mafuta ya kula huko ulipo

desertfox

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2014
Posts
347
Reaction score
244
Zile siku 3 alizotoa waziri mkuu Kassim Majaliwa ya kuongeza mzunguko wa mafuta zimeisha. Je bei imepungua? Km ipo ile ile tatizo lipo wapi na nn kifanyike?
Nimemsikia mkuu wa mkoa wa Arusha akisema wafanya biashara wameficha mafuta.
Kwa upande wangu naona tozo znazokadiriwa n TRA na Mamlaka ya bandar zipunguzwe ili bei ishuke n mzunguko urud wa kawaida na kwa haraka hasa kipind hiki cha kuelekea mfungo.
 
Jamani,nilikuwa sielewi watu wanaposema mafuta ya kupikia yameadimika,kumbe ni kweli,hapa nilipo,akina mama wanalalamika,mafuta hakuna kabisa,ni taharuki tupu
 
Jengeni tabia ya kuwa na long term purchases ..

Mi naskia kwa mitandao tu ...sjui mafuta.. Sukari..

Weka stoke ya kutosha nyumbani.
 
Back
Top Bottom