Tujuzane bata la nje na ndani ya nchi

Upepo Garden ipo barabara ya Ally Sykes….huku mbezi chini.

Kigamboni kuna machimbo mengi tu.

Chimbo jipya ni The Giant:

View attachment 2191254

Kuna Pweza pia….

View attachment 2191255

Ila ukienda hizi sehemu…..iwe Karambezi, Cape Town Fish Market, EB 25, etc., agiza vyakula local.

Ukiona sijui ‘succulent chicken wings’, bbq baby back ribs, juicy burgers, and whatnot, take it from me, don’t order any of that shit.

For, you’ll most likely be disappointed. It’s nothing like you’re used to.

Vinywaji, it’s ok. Kwa sababu vingi vinaagizwa toka nje.

Ila hizo burgers na sijui chicken wings…..nah!
Sawa Mnyamwezi nakuminia. Tangu hapo hivyo local ndivyo nitakavyofuata.

Hivyo vya kinyamwezi nitapata Hooters huku.
 
Habari,

Husika na kichwa cha habari,

Huu uzi ni maalumu kwa kupeana maujanja ili kujua maeneo ya kula bata ndani na nje ya nchi na vituko vya bata batani.

Pia kuelezana vinywaji, vyakula vinavyopatikana sehemu husika.

Bila kusahau vimbwanga na shangwe linalokuwa linapatikana katika eneo husika.

Kama ilivyo baada ya kufanya kazi nyingi katika juma basi watu huamua kuchagua maeneo mbalimbali kwa ajili ya kujiachia na kufurahia weekend.

Wengine wanakwenda bar, wengine club, wengine kwenye fukwe za bahari ilimradi kula bata batani.

Wengine huenda mpaka nje ya nchi huko Dubai, South Africa na nchi nyingine, huko hutupigia mipicha ili tuwaone.

Yote hayo hufanyika ili kuenjoy maisha.
Siku hizi umechangamka
 
Back
Top Bottom