Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Bana eee ule mguso ungevunja ndoa maana marashi yalikaa siku 3 kwenye nguo
Mara nying wale hawatumii perfume wanajifukiza udi zle zna arufu nzur Yan inakaa mda mrefu sna hata ukifua nguo bado utaisikia pia mbali na kujigukiza zpo za kufulia kweny nguo
 
Pale Mlimani feki sana haikai hata masaa 4
Syrian Exhibition ndio pahala pangu pakujidai yaani huwa nanunua za mwaka mzima. ile ya mwezi wa nne ilinipita nikaumia sana alafu mbaya zaidi ndio nilikuwa nimegawa stock niliyo kuwa nayo. uzuri saa hizi wamefungua duka pale mlimani, sina hakika kama zina ubora kama ule ule.
 
syrian exhibition last month ilifanyika pia ila haikusikika sana watu wengi wamezoea ile ya mwanzo wa mwaka, lile duka lao albaity perfumes mlimani wazushi, wana perfumes chache na nadhani zimekuwa diluted ukipaka ni tofauti na za wasyria kwnye ile exhibition yao Fursakibao,
 
syrian exhibition last month ilifanyika pia ila haikusikika sana watu wengi wamezoea ile ya mwanzo wa mwaka, lile duka lao albaity perfumes mlimani wazushi, wana perfumes chache na nadhani zimekuwa diluted ukipaka ni tofauti na za wasyria kwnye ile exhibition yao
Niliiotea lakini ndio hivyo sikuchukua mzigo wa kutosha. walisema wanakuja February hivyo nikachukua za kunifikisha hapo. ila nina mashaka kama watakuja Feb.
 
Kama upo dsm nenda mlimani city mall... Kwenye maduka ya S.H HARMONY na lile duka la dawa linaangaliana na NBC bank Mlimani cty..

Nishawah nunu hapo perfume 150,000 nikakuta chenga kurudi wanaleta longo longo nilisamehe ila roho iliniuma sana, kwanza nauliza bei naambiwa 160,000 nikalipa kusubir resit mdada akanipa ya 150,000 na elfu 10 kaambatanisha, sikutaka kumuumbua ila nafika home nakuta maji matupu dah
 
CMBO,
Pole sana mkuu ndio shida ya nchi yetu ...
ndio maana mi naona bora kwenda kwa mu Israel kariakoo za kupima... Perfume super quality.. hautajutia pesa yako.
 
Back
Top Bottom