Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,146
- 13,415
Mkuu how much hii kitu and where can i get itMtoto kaisha nimemleta baba yakeView attachment 712968
Mkuu how much hii kitu and where can i get itMtoto kaisha nimemleta baba yakeView attachment 712968
Hii nishaitumia ni nzuri,buku ten tuOld spice rolon kajaribu utanipa majibu nikiboko ya jasho la kwapa.
Yaitwa Misk hyo yakhe
Mkuu tuwekee na bei pengine na sehemu zinapopatikana og/ na pengine sehemu inayouza kwa bei rahisiInaweza kuwa addiction ukajikuta unakuwa nazo nyingi
View attachment 712971
JD Pharmacy Mlimani City au Village Walk Masaki. Bei 100,000-200,000Mkuu tuwekee na bei pengine na sehemu zinapopatikana og/ na pengine sehemu inayouza kwa bei rahisi
Hivi tofauti ya spray na perfume ni nn
nayo imekuwa adimu sanaOld spice rolon kajaribu utanipa majibu nikiboko ya jasho la kwapa.
Natamani upite karibu yangu.
Huwa naikubali sana. Mwez uliopita kuna dada akanipitishia signature ya oirflame kwa mkopo nkachukua kwa 90k ila sijaipenda natamani hata kuitupaView attachment 712969 Ni vizuri kuwa nazo nyingi kwasababu harufu ukiizoea unakuwa huisikii
YesUnatumia ya kiume?
Nashukuru mkuu, ngoja kwanza niendelee na CASABLANKA yangu huku nikiwaza namna ya kufika kwenye kina kirefuJD Pharmacy Mlimani City au Village Walk Masaki. Bei 100,000-200,000
6000bonanza perfume ni shingap kwa anaejua