RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,760
- 107,972
£25....AmazonMkuu huu mzigo nauli yake ipoje na wapi naipata?
£25....AmazonMkuu huu mzigo nauli yake ipoje na wapi naipata?
It's really a good collection for a real gentleman.Naiona Gorgio Arman Aqua ,Paco Rabbane 1M imekosekana tu Issey Miyake tu
Yes...ipo sababuKwa hizi sms zako hauko romantic kabisaaaaa
Miezi miwili sasa unaombwa uwatajie cologne gani husemi!Yes...ipo sababu
Mimi nataka ile perfume yakoMiezi miwili sasa unaombwa uwatajie cologne gani husemi!
Sio kitu kikubwa ni affordable kila mtu anaweza kua nayo.Sio uchoyo ila sipend tu kila mtu anukie kama mimi.Napenda niwe unique.Any way ni club nuit intense man by armaf.Miezi miwili sasa unaombwa uwatajie cologne gani husemi!
Hii hapa mkuu.Ila na fake pia zipoJina ya hiyo perfume? Naitaka hiyo
Na Uvumba pia mkuluUdi tu unatosha...
Creed ni usd 360.Hii ni usd 170 nzuri mnoo
Tena bora kuagiza ili upate original
Sauvage is overrated.Sauvage
Aisee INVICTUS ni moto...Invictus,...the best .niliwai nunua mara ya kwanza hii somwea huko emirate 40$..nkaja ikuta mcity huku inauzwa 360k
Last year nkamkuta mdada wa kiarab mcity ndan pale new shop anauza 50k fake lakin za re fill kachupa ka 20ml i think
Na hapo hapo opposite duka wanauza original 360k ..ila nilishangaa kwamba haruf ni ile ile,tena ile fake ndo ilikua ina last
I said thank G...
This is the world we live in.
Kuna perfume ukiisikia harufu yake na ukiwa na. Njaa unaweza zimia aisee
Mimi natumia AXE but kuna perfume moja nilipewaga zawad na mtu wa ujeruman inaitwa VANITAS, ni balaa, yan had ofisin walijua kama nimespray something new n waliipenda, pia hata ukiifua nguo wakati wa kunyosha kile kiharufu chaja, unfortunately sijawahi kubahatika kuipata madukani hapa dar licha ya kuuitafuta sana na huyo wa ughaibun kasharudi bongo, please kama kuna mtu anaifahamu au anajua inapopatikana please let me know, I am ready to buy at any price less than 150k.
My favouriteCOCO BY CHANEL
HowSauvage is overrated.