mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,734
Inshot hayo ma eau de toilette ndo yale ukipuliza chumbani ukitoka sebuleni yameisha harufu unaiacha ndani but eau de perfume ukipuliza kwenye nguo hata mwezi unaikuta inanukia tuNilitaka niulize hilo hilo ,naomba nielezee tofauti ya hizo mbili tafadhali sana