Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Mimi ni mpenzi sana wa manukato hata mwanaume wangu napenda nimsikie akinukia harufu za manukato mazuri na ya bei. Inanipa hamasa sana ya kuwa nae hasa falagha na hio ni weakness yangu kubwa sana. Hata mkaka akiwa smart na ananukia vizuri yaani natokea kumkubali balaa.
Manukato ya bei ni lazima lakini,au kunukia tu vizuri?
 
Kama uko dar nenda kuna duka la perfume pale mlimani city jirani na silver spoon au mlango wa kuingilia game kuna duka lina perfume nzuri za brand kubwa kubwa tu tena hadi huwa wanapima kwa vichupa vidogo kwa elfu 10 au 15 na wanauza pia hata complete.
Ngoja weekend hii nipite hapo na mimi ninukie vizuri.Nishazichoka hizi deudorant na spray za nivea
 
Manukato ya bei ni lazima lakini,au kunukia tu vizuri?
Lazima yawe ya bei bei kidogo hizi cheap perfume nyingi ni mtihani. Mind me tunaishi na bf mbali mbali lakini huwa nikiondoka nachukua kitambaa changu cha mkononi na kipulizia perfume yake ambayo hata nikifua haitoki na miminia kweli na huwa naweka chini ya mto ninao lalia. Hadi siku tukionana tena nitapulizia tena. Mambo ya distance yanatesa sana.
 
Unapulizia perfume yake ili ufeel like yupo around au?..long distance relations zina tabu kweli.
 
Ngoja weekend hii nipite hapo na mimi ninukie vizuri.Nishazichoka hizi deudorant na spray za nivea
Pitia pale utakuja kunishukuru hapa wana karibu brand zote unazojua wewe... Zinanukia vizuri sana hadi mtu anaweza kuuliza umepaka perfume gani. Bf nae ni mpenzi sana wa perfume ngoja siku nikionana nae nitaangalia pefrume alizonazo nitawatumia majina.
 
69cf18d85829b2fa0ceb7e979fe6b920.jpg

Me natumia hii bidhaa ya oriflame iko poa sana
 
Pitia pale utakuja kunishukuru hapa wana karibu brand zote unazojua wewe... Zinanukia vizuri sana hadi mtu anaweza kuuliza umepaka perfume gani. Bf nae ni mpenzi sana wa perfume ngoja siku nikionana nae nitaangalia pefrume alizonazo nitawatumia majina.
Nitajitahidi mkuu nipite.Kuna jamaa yangu alikuwa ananisimulia stori yake ya kupata a cute girl,kisa girl alipenda tu anavonukia vizuri
 
Ki ukweli wanawake tuna husudu sana mkaka anayenukia vizuri hata heshima inakuwepo. Usifanye mchezo una mkiss mtu shingoni unasikia manukato mazuri really ina ongeza mood ya show sana... Naweza kukun"gata shingo au hata akikumbatia wadada wanaelewa how it feels..
 
Kumbe,itabidi tuanze kweli kunukia vizuri.
 
Back
Top Bottom