Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Any time mkuu.

Kutambua feki ni mtihani kidogo, may be kama umewahi kutumia hiyo perfume kabla ambapo unaweza kutambua kwa muonekano wa chupa (fake itakua na quality flani ya chini kidogo) au kama hilo duka wana testers unaweza kuspray kidogo kwenye mkono na kuangalia harufu yake na jinsi inavyobadilika overtime na hivyo kutambua kama top notes na base notes zote zipo sawasawa na original uliyokua ukitumia mara ya kwanza.

Kama haukuwahi kutumia kabla then unaweza kulinganisha bei. Cheki retail prices kwenye mtandao au hata ebay, kama ni fake bei yake itakua ni ya chini kama ni original basi bei yake itakua juu kidogo ya prices za ebay au unazoziona mtandaoni.

Option ya tatu ni kuangalia youtube, kuna reviewers huwa wanaonyesha jinsi ya kutofautisha fake na originals za perfume mbalimbali.
Well said.thanks again
 
Bvlgari-Man-in-Black-EDP-225x300.jpg

Nimeonja nimenogewa hakika lazima niipate
 
BVGARI MAN naweza kuipata wapi kwa Dar (Tz) mara ya mwisho nilinunua Ethiopia Airport kwa 50usd
 
BVGARI MAN naweza kuipata wapi kwa Dar (Tz) mara ya mwisho nilinunua Ethiopia Airport kwa 50usd

Kwa Dar sijajua...mimi niliiona kwenye mall Bangalore na bei yake ilikua 5000 rupees tuu ila kuna nyingine inaitwa Skinn steele by Titan ni ya france ina scent kama ya bvlgari man in black
 
  • Thanks
Reactions: CDG
BVGARI MAN naweza kuipata wapi kwa Dar (Tz) mara ya mwisho nilinunua Ethiopia Airport kwa 50usd
Mimi kuna mtu alishawahi niletea zawadi ila ni BVGARI GOLDIEA ilikuwa imeandikwa in Tshs. 245,000/= inawezekana zipo maduka makubwa.
 
Ushawahi kupata compliments kuhusu huu unyunyu?
Sana tu ni nzuri na inakaa sana mwilini hata mwilini napo inakaa vizuri japo nina nyingine za victoria secret, Burberry Body, Agent Provocateur Fatale intense lakini still Goldie kwangu ni best.. Huwa napakaa tu nikitoka kwenda kwenye sherehe tu.
 
Victoria secret ulinunua wapi?,nataka nikamchukulie mtu as a gift.
 
Mimi ni mpenzi sana wa manukato hata mwanaume wangu napenda nimsikie akinukia harufu za manukato mazuri na ya bei. Inanipa hamasa sana ya kuwa nae hasa falagha na hio ni weakness yangu kubwa sana. Hata mkaka akiwa smart na ananukia vizuri yaani natokea kumkubali balaa.
 
Back
Top Bottom