Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo alitangaza kumsamehe Askofu Gwajima baada ya kumtolea maneno makali akimwita msaliti wa viongozi wengine wa kikiristo chini ya Jukwaa la Wakrito Tanzania (CCT), ambao walipinga Katiba iliyopendekezwa baada ya Bunge maalumu la Katiba mwishoni mwaka 2014. Wakati huo hakuishia kwa Kardinali Pengo bali alimshambulia pia Spika wa Bunge wa wakati huo, Anne Makinda.