Tujiulize, waliovamia TCU lengo lao hasa lilikua nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujiulize, waliovamia TCU lengo lao hasa lilikua nini?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by General mex, Jun 28, 2012.

 1. General mex

  General mex Senior Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 118
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Kwa kufikiria tu, kwenye ofisi ya TCU hakuna fedha taslimu. Sasa mpaka watu wamejipanga namna hiyo, wawaleweshe walinzi na kuvunja mpaka kuingia ndani na kutoka, ni nini hasa walichoenda kufanya huko?

  Haiwezekani mpango mkubwa kama huo ukafanywa na watu wasiolewa ni nini wanaenda kukifanya. Nina mashaka na data za wanafunzi kama zipo salama. Hata kama ziko salama inatakiwa umakini sana kwa maana mtu anaweza ku hack labda kwa ajili ya ku access data kwa baadae.

  Nawasilisha hoja.
   
 2. nover

  nover Senior Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  lazma kuna sababu mbali na fedha
   
Loading...