Tujiulize, wako wapi mashabiki wa Lissu wapinge adhabu barabarani?

Wakuu

Dalili ya mvua siku zote ni mawingu. Tundu Lissu tangu ameanza kampeni, ametuaminisha kuwa ana wafuasi wa kutosha na wapo tayari kuingia barabarani kama hatashinda uraisi.

Jana kapigwa ban na tume. Kwa namna anavyozungumzia suala la kuingia barabarani, tulitarajia kuona hata vijana wawili watatu wakitoka nje mabarabarani kupinga maamuzi ya tume. Lakini wapiii? Si Tunduma, wala Nyamongo, wala Rombo, wala Ifakara? Kote doroooo

Hii ni tofauti kabisa na kinachotokeaga nchi kama Uganda pale ambapo Boby Wine anakuwa amebanwa na serikali ya Museveni. Watu wanatiririka mabarabarani hata kwa issue ndogo tu kuthibisha ufuasi wao kwake. Huyu Tundu Lissu huko kupendwa anakojaribu kutuaminisha ni kwa aina gani.

Dalili ya mvua ni mawingu. Hatujaona chochote kinachoashiria hizo vurugu anazosema zitatokea wiki 4 zijazo ikiwa hajapata urais. Huyu ni kujitapatapa tu mithili ya kuku akatae roho. Hana ufuasi huo anaojitapa nao. Hanaaaa.
Hamuoni aibu kubebwa kila siku kila mahali? Polisi iwabebe, Tume ya uchaguzi iwabebe, Msajili wa vyama awabebe, siku mkisimama bila hiyo mikongojo mtaweza?

Lakini pamoja na vitisho vyoote vya IGP, mbona kanywea? Yajayo yanafurahisha
 
Jibu linalokufaa ww mtoa mada kwa sasa ni

1601724908692.png
 
Tunasubiri maelekezo tu!! Unafukiri tukipewa maelekezo hatutatokea barabarani????

CCM kweli mnalo mwaka huu
 
Hamuoni aibu kubebwa kila siku kila mahali? Polisi iwabebe, Tume ya uchaguzi iwabebe, Msajili wa vyama awabebe, siku mkisimama bila hiyo mikongojo mtaweza?

Lakini pamoja na vitisho vyoote vya IGP, mbona kanywea? Yajayo yanafurahisha
Mtanyooka tu Chadema mwaka huu. Muda wa kubembelezana umeisha
 
Kumzuia Lissu kufanya kampeni ni kumfanyia kampeni kupitia vyombo vya habari nchi nzima. Ni mjinga tu anayeweza kuandamana kupinga hiyo 'promo' ya bure kabisa iwe halali ama batili.
 
Uzi wa kijinga sana , huku ukijua kwamba Kamati kuu inakutana lakini wewe unaleta uzushi , subiri uone kitakachoamriwa
Kamati kuu ipi wakati wamemkana lakini tume ikakomaa kuwa wao ndio wamemdhani kupeperusha hio bendera yao.
 
Mimi nampenda JPM sana ,Ni wakati huu ndio nimefanya ziara sana nje ya nchi na kuweza kumalizia nyumba zangu,

Wakati wa JK Mafundi bei zilikuwa jui na dharau juu

Wakati huu wao ndio wamenitafuta kuuliza Mzee malizia nyumba zako

Twende na JPM 2o2o
Mafisadi utawajua tu.
 
Lisu mpenda kutishia tishia nyau ,Anapenda indimidation sanaaaa ya mdomoni .Akidhani wanaomsikiliza wanayatilia maanani kumbe nobody minds .

Mtanzania umwambie ingia barabarani ufanye vurugu ili wewe uingie bungeni au ikulu ukale miposho na mishahara minono na bata!!!

Mtanzania hapo humpati UTAINGIA BARABARANI mwenyewe.
Sipati picha unapumua sasa,nikikumbuka ulivyokuwa unalalamika Lisu kurudia ziara mkoani mwanza ili hali alishapita mwanza ulilalamika mpaka nikakuonea Huruma mkuu.Leo hata maji yatapita ukinywa.
 
Leo akihojiwa na VOA huku mashavu yametuna kasema eti watu maelfu kwa maelfu wanhudhuria mikutano yake hivyo anaamini kuwa lazima atashinda uchaguzi.

Cha kushangaza zaidi hana muda wa kunadi wagombea ubunge wake sasa huyu si atakuwa rais wa ajabu asiye na wabunge na ataundaje serikali yake,

Nimekuwa nikimwangalia kwa umakini naona lissu ni kama mtu aliyepoteza matumaini hivyo nawaya waya
 
Embu muombe basi dikteta wenu aruhusu watu waandamane kwa amani kwani unapenda sana anachofanya dikteta na vyombo vyake vya dola.
Si mlisema mnakinukisha?

Mbona kimya?
 
Wapo umu wanasubir kuanzisha uzi wa

Kinacho endelea kwenye Maandamano ya Tundulisu kwa picha Tena muda huo wao Hua bize kusimamia uzi wakiwa nyuma ya kibod [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] chadema kwao ni bora kujinyonga kuliko kumpigia kura Tundulisu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Utasikia tutakinusha,

Huku mtu anaesema hivyo anatumia bando alinunua kwa hela iliyobaki baada ya kununua nyanya gengeni alizotumwa na dadake
 
Wale madiwani wa chadema waliomuua uvccm iringa, saivi ndio wanajua kuna mihemko na uhalisia

Saivi wanaozea jela na familia zao zinakufa njaa, Hakuna Tundu wala msigwa anataka hata kujihusisha nao, hata kuhusishwa nao hawataki

Sasa hii ni adhabu ya duniani bado ya ahera
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umenikumbusha Mdude
 
2017 hawezi kupona...akapona
2020 hawezi kurudi...akarudi
Hawezi kuteuliwa....akateuliwa...
Hana hela za kampeni..wananchi wakampa ...
Msajili...chali
Polisi. Chali
NEC soon inaenda kuaibishwa
TAL is a victor no one can stop him ukijaribu unatafuta aibu tu...
Ova
 
Wakuu

Dalili ya mvua siku zote ni mawingu. Tundu Lissu tangu ameanza kampeni, ametuaminisha kuwa ana wafuasi wa kutosha na wapo tayari kuingia barabarani kama hatashinda uraisi.

Jana kapigwa ban na tume. Kwa namna anavyozungumzia suala la kuingia barabarani, tulitarajia kuona hata vijana wawili watatu wakitoka nje mabarabarani kupinga maamuzi ya tume. Lakini wapiii? Si Tunduma, wala Nyamongo, wala Rombo, wala Ifakara? Kote doroooo

Hii ni tofauti kabisa na kinachotokeaga nchi kama Uganda pale ambapo Boby Wine anakuwa amebanwa na serikali ya Museveni. Watu wanatiririka mabarabarani hata kwa issue ndogo tu kuthibisha ufuasi wao kwake. Huyu Tundu Lissu huko kupendwa anakojaribu kutuaminisha ni kwa aina gani.

Dalili ya mvua ni mawingu. Hatujaona chochote kinachoashiria hizo vurugu anazosema zitatokea wiki 4 zijazo ikiwa hajapata urais. Huyu ni kujitapatapa tu mithili ya kuku akatae roho. Hana ufuasi huo anaojitapa nao. Hanaaaa.
Haa[emoji49] unataka watu waingie kitaa?
 
"Hii ni tofauti kabisa na kinachotokeaga... anakuwa amebanwa na serikali..."
 
Back
Top Bottom