Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 5,008
- 9,209
- Thread starter
- #21
Ha ha ha haaaaaa. You have made my dayLissu ni mkora tu kama wakora wengine ,ujinga wake unadhihirika wazi

Kama hicho ndio mnatafuta ,jaribuni Tena baadae.Lisu mpenda kutishia tishia nyau ,Anapenda indimidation sanaaaa ya mdomoni .Akidhani wanaomsikiliza wanayatilia maanani kumbe nobody minds .
Mtanzania umwambie ingia barabarani ufanye vurugu ili wewe uingie bungeni au ikulu ukale miposho na mishahara minono na bata!!!
Mtanzania hapo humpati UTAINGIA BARABARANI mwenyewe.
Wakuu
Dalili ya mvua siku zote ni mawingu. Tundu Lissu tangu ameanza kampeni, ametuaminisha kuwa ana wafuasi wa kutosha na wapo tayari kuingia barabarani kama hatashinda uraisi.
Jana kapigwa ban na tume. Kwa namna anavyozungumzia suala la kuingia barabarani, tulitarajia kuona hata vijana wawili watatu wakitoka nje mabarabarani kupinga maamuzi ya tume. Lakini wapiii? Si Tunduma, wala Nyamongo, wala Rombo, wala Ifakara? Kote doroooo
Hii ni tofauti kabisa na kinachotokeaga nchi kama Uganda pale ambapo Boby Wine anakuwa amebanwa na serikali ya Museveni. Watu wanatiririka mabarabarani hata kwa issue ndogo tu kuthibisha ufuasi wao kwake. Huyu Tundu Lissu huko kupendwa anakojaribu kutuaminisha ni kwa aina gani.
Dalili ya mvua ni mawingu. Hatujaona chochote kinachoashiria hizo vurugu anazosema zitatokea wiki 4 zijazo ikiwa hajapata urais. Huyu ni kujitapatapa tu mithili ya kuku akatae roho. Hana ufuasi huo anaojitapa nao. Hanaaaa.
Watu wanamsikiliza halafu wanamuona kama kituko flan hivi kama katuni za Masudi Kipanya.Lisu mpenda kutishia tishia nyau ,Anapenda indimidation sanaaaa ya mdomoni .Akidhani wanaomsikiliza wanayatilia maanani kumbe nobody minds .
Mtanzania umwambie ingia barabarani ufanye vurugu ili wewe uingie bungeni au ikulu ukale miposho na mishahara minono na bata!!!
Mtanzania hapo humpati UTAINGIA BARABARANI mwenyewe.
Naona masimbe mnatiana moyo humu.Wafuasi wake ni keyboard worriers
Ni kweli, Lissu hawezi kubadilikaUmezoea kuishi kwa unafiki tangu upo mtoto ni ngumu kubadirika
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Unazani Lisu anaweza kumuingiza mtu yoyote barabarani,hata sikumoja,watu huingia barabarani wenyewe, Lisu anashida gani mpaka aingize watu barabarani Ila njaa na mateso ndiyo yatawaingiza watu barabarani,Tundu Lisu anatumia njia za kidemokrasia kuingia madarakani akishindwa Wala Hana shida yoyote atatafuta kazi atafanya Ila hao walala hoi ndiyo wataendelea na msoto wao Kama kawaWakuu
Dalili ya mvua siku zote ni mawingu. Tundu Lissu tangu ameanza kampeni, ametuaminisha kuwa ana wafuasi wa kutosha na wapo tayari kuingia barabarani kama hatashinda uraisi.
Jana kapigwa ban na tume. Kwa namna anavyozungumzia suala la kuingia barabarani, tulitarajia kuona hata vijana wawili watatu wakitoka nje mabarabarani kupinga maamuzi ya tume. Lakini wapiii? Si Tunduma, wala Nyamongo, wala Rombo, wala Ifakara? Kote doroooo
Hii ni tofauti kabisa na kinachotokeaga nchi kama Uganda pale ambapo Boby Wine anakuwa amebanwa na serikali ya Museveni. Watu wanatiririka mabarabarani hata kwa issue ndogo tu kuthibisha ufuasi wao kwake. Huyu Tundu Lissu huko kupendwa anakojaribu kutuaminisha ni kwa aina gani.
Dalili ya mvua ni mawingu. Hatujaona chochote kinachoashiria hizo vurugu anazosema zitatokea wiki 4 zijazo ikiwa hajapata urais. Huyu ni kujitapatapa tu mithili ya kuku akatae roho. Hana ufuasi huo anaojitapa nao. Hanaaaa.
Vipi mdingi bado anajinyea nyea?Wakuu

Watanzania wanajitambuaHaha amuulize mange kimavi, alihamasisha maandamano kwa miezi mitatu duniani kote macho na masikio yalielekezwa Tanzania badala yake siku hiyo watanzania wote walibadili kabisa ratiba yao sio binadamu wala kuku alitoka nje ya nyumba yake siku nzima na wengine walikaa ndani week nzima 😅😁😅😁😁
Ngoja hiyo kesho jumapili ndio atajua watanzania ni akina nani!
Askari wa Tanzania watatuvunja miguu,hawajui kulenga shabahaWakuu
Dalili ya mvua siku zote ni mawingu. Tundu Lissu tangu ameanza kampeni, ametuaminisha kuwa ana wafuasi wa kutosha na wapo tayari kuingia barabarani kama hatashinda uraisi.
Jana kapigwa ban na tume. Kwa namna anavyozungumzia suala la kuingia barabarani, tulitarajia kuona hata vijana wawili watatu wakitoka nje mabarabarani kupinga maamuzi ya tume. Lakini wapiii? Si Tunduma, wala Nyamongo, wala Rombo, wala Ifakara? Kote doroooo
Hii ni tofauti kabisa na kinachotokeaga nchi kama Uganda pale ambapo Boby Wine anakuwa amebanwa na serikali ya Museveni. Watu wanatiririka mabarabarani hata kwa issue ndogo tu kuthibisha ufuasi wao kwake. Huyu Tundu Lissu huko kupendwa anakojaribu kutuaminisha ni kwa aina gani.
Dalili ya mvua ni mawingu. Hatujaona chochote kinachoashiria hizo vurugu anazosema zitatokea wiki 4 zijazo ikiwa hajapata urais. Huyu ni kujitapatapa tu mithili ya kuku akatae roho. Hana ufuasi huo anaojitapa nao. Hanaaaa.
Wakuu
Dalili ya mvua siku zote ni mawingu. Tundu Lissu tangu ameanza kampeni, ametuaminisha kuwa ana wafuasi wa kutosha na wapo tayari kuingia barabarani kama hatashinda uraisi.
Jana kapigwa ban na tume. Kwa namna anavyozungumzia suala la kuingia barabarani, tulitarajia kuona hata vijana wawili watatu wakitoka nje mabarabarani kupinga maamuzi ya tume. Lakini wapiii? Si Tunduma, wala Nyamongo, wala Rombo, wala Ifakara? Kote doroooo
Hii ni tofauti kabisa na kinachotokeaga nchi kama Uganda pale ambapo Boby Wine anakuwa amebanwa na serikali ya Museveni. Watu wanatiririka mabarabarani hata kwa issue ndogo tu kuthibisha ufuasi wao kwake. Huyu Tundu Lissu huko kupendwa anakojaribu kutuaminisha ni kwa aina gani.
Dalili ya mvua ni mawingu. Hatujaona chochote kinachoashiria hizo vurugu anazosema zitatokea wiki 4 zijazo ikiwa hajapata urais. Huyu ni kujitapatapa tu mithili ya kuku akatae roho. Hana ufuasi huo anaojitapa nao. Hanaaaa.
Wakuu
Dalili ya mvua siku zote ni mawingu. Tundu Lissu tangu ameanza kampeni, ametuaminisha kuwa ana wafuasi wa kutosha na wapo tayari kuingia barabarani kama hatashinda uraisi.
Jana kapigwa ban na tume. Kwa namna anavyozungumzia suala la kuingia barabarani, tulitarajia kuona hata vijana wawili watatu wakitoka nje mabarabarani kupinga maamuzi ya tume. Lakini wapiii? Si Tunduma, wala Nyamongo, wala Rombo, wala Ifakara? Kote doroooo
Hii ni tofauti kabisa na kinachotokeaga nchi kama Uganda pale ambapo Boby Wine anakuwa amebanwa na serikali ya Museveni. Watu wanatiririka mabarabarani hata kwa issue ndogo tu kuthibisha ufuasi wao kwake. Huyu Tundu Lissu huko kupendwa anakojaribu kutuaminisha ni kwa aina gani.
Dalili ya mvua ni mawingu. Hatujaona chochote kinachoashiria hizo vurugu anazosema zitatokea wiki 4 zijazo ikiwa hajapata urais. Huyu ni kujitapatapa tu mithili ya kuku akatae roho. Hana ufuasi huo anaojitapa nao. Hanaaaa.
Siasa za uganda na Tz ni tofauti sanaaa.kumbe ndugu yangu wewe ni mweupe hata vitu vidogo vinakushinda kuvitofautisha.ss hatuna historia ya vurugu Kama nchi nyingine na siasa zetu ni za kistaarabu.dont incite violenceWakuu
Dalili ya mvua siku zote ni mawingu. Tundu Lissu tangu ameanza kampeni, ametuaminisha kuwa ana wafuasi wa kutosha na wapo tayari kuingia barabarani kama hatashinda uraisi.
Jana kapigwa ban na tume. Kwa namna anavyozungumzia suala la kuingia barabarani, tulitarajia kuona hata vijana wawili watatu wakitoka nje mabarabarani kupinga maamuzi ya tume. Lakini wapiii? Si Tunduma, wala Nyamongo, wala Rombo, wala Ifakara? Kote doroooo
Hii ni tofauti kabisa na kinachotokeaga nchi kama Uganda pale ambapo Boby Wine anakuwa amebanwa na serikali ya Museveni. Watu wanatiririka mabarabarani hata kwa issue ndogo tu kuthibisha ufuasi wao kwake. Huyu Tundu Lissu huko kupendwa anakojaribu kutuaminisha ni kwa aina gani.
Dalili ya mvua ni mawingu. Hatujaona chochote kinachoashiria hizo vurugu anazosema zitatokea wiki 4 zijazo ikiwa hajapata urais. Huyu ni kujitapatapa tu mithili ya kuku akatae roho. Hana ufuasi huo anaojitapa nao. Hanaaaa.
Wakuu
Dalili ya mvua siku zote ni mawingu. Tundu Lissu tangu ameanza kampeni, ametuaminisha kuwa ana wafuasi wa kutosha na wapo tayari kuingia barabarani kama hatashinda uraisi.
Jana kapigwa ban na tume. Kwa namna anavyozungumzia suala la kuingia barabarani, tulitarajia kuona hata vijana wawili watatu wakitoka nje mabarabarani kupinga maamuzi ya tume. Lakini wapiii? Si Tunduma, wala Nyamongo, wala Rombo, wala Ifakara? Kote doroooo
Hii ni tofauti kabisa na kinachotokeaga nchi kama Uganda pale ambapo Boby Wine anakuwa amebanwa na serikali ya Museveni. Watu wanatiririka mabarabarani hata kwa issue ndogo tu kuthibisha ufuasi wao kwake. Huyu Tundu Lissu huko kupendwa anakojaribu kutuaminisha ni kwa aina gani.
Dalili ya mvua ni mawingu. Hatujaona chochote kinachoashiria hizo vurugu anazosema zitatokea wiki 4 zijazo ikiwa hajapata urais. Huyu ni kujitapatapa tu mithili ya kuku akatae roho. Hana ufuasi huo anaojitapa nao. Hanaaaa.
Uzi wa kijinga sana , huku ukijua kwamba Kamati kuu inakutana lakini wewe unaleta uzushi , subiri uone kitakachoamriwaWakuu
Dalili ya mvua siku zote ni mawingu. Tundu Lissu tangu ameanza kampeni, ametuaminisha kuwa ana wafuasi wa kutosha na wapo tayari kuingia barabarani kama hatashinda uraisi.
Jana kapigwa ban na tume. Kwa namna anavyozungumzia suala la kuingia barabarani, tulitarajia kuona hata vijana wawili watatu wakitoka nje mabarabarani kupinga maamuzi ya tume. Lakini wapiii? Si Tunduma, wala Nyamongo, wala Rombo, wala Ifakara? Kote doroooo
Hii ni tofauti kabisa na kinachotokeaga nchi kama Uganda pale ambapo Boby Wine anakuwa amebanwa na serikali ya Museveni. Watu wanatiririka mabarabarani hata kwa issue ndogo tu kuthibisha ufuasi wao kwake. Huyu Tundu Lissu huko kupendwa anakojaribu kutuaminisha ni kwa aina gani.
Dalili ya mvua ni mawingu. Hatujaona chochote kinachoashiria hizo vurugu anazosema zitatokea wiki 4 zijazo ikiwa hajapata urais. Huyu ni kujitapatapa tu mithili ya kuku akatae roho. Hana ufuasi huo anaojitapa nao. Hanaaaa.
Na wew kidomo km ulamba nanili uko chumbani na mumeo au mtandao... ?kipuuzi sn ww kibinti18 za mitandaoni labda
Na anayesema ataingiza watu barabarani siyo magwanda mwenzenu?Siasa za uganda na Tz ni tofauti sanaaa.kumbe ndugu yangu wewe ni mweupe hata vitu vidogo vinakushinda kuvitofautisha.ss hatuna historia ya vurugu Kama nchi nyingine na siasa zetu ni za kistaarabu.dont incite violence
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hamna jipya na hiyo kamati yenuUzi wa kijinga sana , huku ukijua kwamba Kamati kuu inakutana lakini wewe unaleta uzushi , subiri uone kitakachoamriwa