Tujiulize Kwanini serikali hii fake inateka watu

Hii Tanzania on paper ni democratic country but in reality ni kama China, Urusi au Cuba, ndio mtindo na mfumo wake kwa hiyo serikali haiwezi wala haina mifumo ya ku-deal na wakosoaji ukikosoa kuna tafsiriwa kam treason kubadili hili lazima mfumo mzima ubadilike tofauti na hapo hata aje nani watu watatekwa after all watekaji wana-operate semi-autonomous kuna wakati wanajiamulia tu kama GESTAPO
 
Ulimwengu ambao walimwengu waliomo ndan yake lazima kwanza ujue asili ya walimwengu n kutawala na kuwa hodar Zaid ya wengine katika mfumo wa namna hii iwe n kwenye familia ukoo mtaa wilaya had taifa lazima wengine waangamize wengine Ili waishi maisha Bora Zaid ya wengine, hlo n jambo la human nature Wala usishangae ,hata wangepewa chama kingine ww unayewaamin wangetembea humo humo Ili wazid kuwa na nguvu na utajir ndyo ubinadam ulivyo,usitegemee hata sku Moja ccm watakubal kulegeza kamba wawaachie wengine,lzm waue ,watishie Ili wazid kunawir ha pa duniani,hii ndo dunia na sio hapa tz tu ndo mfumo wa dunia ulivyo,Marekan unaona ilipo Kwa sabab ya mfumo huo , mfumo wowote ule kwenye jamii Ili ufanikiwe Zaid lazima uonee watu lzm uumize na hata kuua Ili huo mfumo uzid kustaw ,Amin ndo nature hyo
 
Those mazafakaz don’t give a damn ‘bout your religion they kill anyone who gets on their way ,,muslim or Christian they don’t even ask what you believe… one wrong comment or fkng video you’re done …shukuru Mungu wako likizo
Huo ndo uhalisia Madaraka matamu ,watu wapo tyr Kwa lolote hata kuua
 
Mwana Sultana alikuwa kwa Museveni na kupewa mbinu na huyo dictator juu ya wanaharakati walioko Kenya kama alimvyo mteka Besigye.
Kitu kimoja tujue Ruto naye kawa compromised na anashiriki huu uhuni wa kuteka wapinzani waliko Kenya.
 
Those mazafakaz don’t give a damn ‘bout your religion they kill anyone who gets on their way ,,muslim or Christian they don’t even ask what you believe… one wrong comment or fkng video you’re done …shukuru Mungu wako likizo
Kalia dole langu la kati halafu nitalinusa
 
Ulimwengu ambao walimwengu waliomo ndan yake lazima kwanza ujue asili ya walimwengu n kutawala na kuwa hodar Zaid ya wengine katika mfumo wa namna hii iwe n kwenye familia ukoo mtaa wilaya had taifa lazima wengine waangamize wengine Ili waishi maisha Bora Zaid ya wengine, hlo n jambo la human nature Wala usishangae ,hata wangepewa chama kingine ww unayewaamin wangetembea humo humo Ili wazid kuwa na nguvu na utajir ndyo ubinadam ulivyo,usitegemee hata sku Moja ccm watakubal kulegeza kamba wawaachie wengine,lzm waue ,watishie Ili wazid kunawir ha pa duniani,hii ndo dunia na sio hapa tz tu ndo mfumo wa dunia ulivyo,Marekan unaona ilipo Kwa sabab ya mfumo huo , mfumo wowote ule kwenye jamii Ili ufanikiwe Zaid lazima uonee watu lzm uumize na hata kuua Ili huo mfumo uzid kustaw ,Amin ndo nature hyo
Hoja ya kijinga sana.
 
Back
Top Bottom