salumhamza
Member
- Nov 7, 2015
- 6
- 16
Kijana wa miaka 17 nchini China ana shahadaya Udaktari
Kijana wa maika 17 nchini Japan ana shahadaya makenika
Kijana wa miaka 17 nchini Marekani ana utajirikupitia kipaji chake
Kijana wa miaka 17 nchini Urusi ni mwanajeshi mwenye eshima yake
Kijana wa miaka 17 nchini Uingereza nimwanasheria
Kijana wa miaka 17 nchini Brasil ni mwanasoka
Kijana wa miaka 17 nchini Tanzania ni Admin wa Magroup 7 kwenye whatsApp na anaongoza kujua subtitles za
movies
.....CHUKUA HATUA.

hatari sana hii nchi ya ahadi