Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,307
- 62,517
ha ha ha ha kwa nini sasa yanatokea😁😁😁.... 😁😁😁.... 😎😎😎.... hayo mambo yana wakuta tu watu, sidhani kama wanafurahia... kuachana au kutengana...
Nadhani maendeleo ya teknolojia na tamaa ya uhitaji wa vitu kama tunavyoona kwa wenzetu waliokwishaendeleaNahisi style za maisha ya sasa yanachangia sana, ndio maana utaona let ya watu kuachana kushuka miaka ya 70... ni ndogo kulinganisha na 80 kuja juu...
Kuna ukweli,ingawa mi nadhani zaidi ni tamaa ndio maana wadada wengi wanakimbilia kupenda pesa kabla ya utuHiyo ianchangia kwa kiasi flani, ila tatizo lingine watu wanaaanza kushiriki tendo wakiwa bado wadogo sana, hadi kufikia mda kuingia kwa ndoa unakuta hawa feel raha ya ndoa kwasababu mahitaji ya ndoa wameyapata tokea mtu akiwa na miaka 18+... kwake inakuwa haina maana... na ukikuta na anamtoto ndio basi
Bado ana nafasi ya kupata msaidiziSasa single mother ajitahijidije kutokuwa single uzeeni
ha ha ha ha ha hizo zingine huwa ni mbwembwe tuTunawavumilia mkiwa chini na hizi flat zetu mkizipata mnataka chura wa kunesa nesa, bora kubaki single
Wapo ambao wana heshima, na pale wanapo pata mafanikio wanazidi sana kua na upendo na familia na heshima kwa mke na familia. Ila ukipata kizazi cha nyoka utakomaa
Nahisi style za maisha ya sasa yanachangia sana, ndio maana utaona let ya watu kuachana kushuka miaka ya 70... ni ndogo kulinganisha na 80 kuja juu...
Sasa single mother ajitahijidije kutokuwa single uzeeni
Ngoja Lizarazu aione hii atakuita mwanaume bwegeTamaa kila mtu anayo, na hakuna asie penda pesa. Maana pesa ni jawabu la mambo yote. Pia unapo ona mwanamke ana kosea ujue mwanaume yupo nyuma ya hayo makosa, maana mwanaume ni leader kwa mwanamke, so kama kiongozi akiwa boya unategemea nini kwa anae muongoza ?
Kwani na mabaharia hufumaniwa?Write your reply...kufumaniwa ndo kosa lililonikabili
Sasa mkuu nini kifanyikeTamaa kila mtu anayo, na hakuna asie penda pesa. Maana pesa ni jawabu la mambo yote. Pia unapo ona mwanamke ana kosea ujue mwanaume yupo nyuma ya hayo makosa, maana mwanaume ni leader kwa mwanamke, so kama kiongozi akiwa boya unategemea nini kwa anae muongoza ?
ha ha ha ha ha na hiyo taasisi itakuwa kimaslaiNaunga mkono hoja, kama itawezekana iundwe taasisi ya kutulinda....
Angalia usijepigwa mapangaWrite your reply...kufumaniwa ndo kosa lililonikabili
Ukijaribu kwenye mapenzi kujitoa, ujue umejimaliza mwenyewe. Katika mapenzi anae takiwa kujitoa ni mwanaume, sasa kama wewe mwanamke una kihelehele cha kujitoa tegemea maumivu makali hadi ukome. Kujua kizazi cha nyoka ni rahisi sana labda uwe huna akili nzuri