Mnyanyembe wa Mboka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 2,347
- 3,033
Hujakomaa kiakili za kidipromasia na kifalsafa,nk.
Nchi ikiwekewa vikwazo vya kiuchumi, serikali inapewa adhabu yake ili iache mambo mabaya inayofanya,kama kuminya demokrasia,uhuru,na pengine ufisadi.
Je,hivi vitu serikali ikikoma kuvifanya,vyama vya upinzani havitapata faida?
Na je,nchi kama Tunisia, Misri na Libya, wapinzani walipata faida gani baada ya Marais wa nchi hizo kupndolewa madarakani kwa nguvu na USA na majeshi ya NATO?
Wewe bado mtoto wa secondary school,haya mambo hata serikali ya Tanzania inayajua vizuri, siyo kama unavyojua wewe.Ukikua utayaelewa.
Wanaelewa sana ila wanajitia wazimu wasiokuanao