Tujitafakari kwa kina: Vikwazo vya Mmarekani vina manufaa kwa siasa za Upinzani?

Hujakomaa kiakili za kidipromasia na kifalsafa,nk.

Nchi ikiwekewa vikwazo vya kiuchumi, serikali inapewa adhabu yake ili iache mambo mabaya inayofanya,kama kuminya demokrasia,uhuru,na pengine ufisadi.

Je,hivi vitu serikali ikikoma kuvifanya,vyama vya upinzani havitapata faida?

Na je,nchi kama Tunisia, Misri na Libya, wapinzani walipata faida gani baada ya Marais wa nchi hizo kupndolewa madarakani kwa nguvu na USA na majeshi ya NATO?

Wewe bado mtoto wa secondary school,haya mambo hata serikali ya Tanzania inayajua vizuri, siyo kama unavyojua wewe.Ukikua utayaelewa.

Wanaelewa sana ila wanajitia wazimu wasiokuanao
 
Acha kashfa za kipuuzi. Nani anapata posho toka Ccm?

Kwa akili yako finyu Tanzania ina uhusiano mbaya na Usa?

Upinzani umenufaika nini na hivi vikwazo vya kuzuia watanzania kwenda usa?
We!!! Tulia dawa iiingie utaelewa baadae faida watakayopata tulia shwaini weeew!!

Ni kucheko tu mwanzo mwisho

YAJAYO YANATISHAAAAA

Wanabodi wa JF hili ni bandiko linalohitaji majibu chanya kwa mustakabali wa taifa letu.

Maana kila kukicha wanasiasa wa upinzani wamekuwa na munkari wa kutaka nchi yetu iwekewe vikwazo hasa na taifa la marekani kwa kile wao wanafikiri kuwa ni msaada wa kwao ili kupata manufaaa ya kisiasa.

Mfano kipindi taifa ketu limegubikwa na matukio ya raia kutekwa na kupotea , serikali ya Usa wakati huo ilimuwekea zuio la kutoenda Usa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Kwa ufupi wapinzani walifurahi sana maana waliona sasa hii kwao ni adhabu tosha kwa watesi wao. Usa ilienda mbali na kuweka zuio la watanzania wote kutocheza bahati nasibu ya green card kwa watanzania wasiende Usa kusaka maisha.

Pia baada ya uchaguzi kuisha wapinzani wamelalama sana na cha kushangaza serikali ya Usa wakati huo iliweka zuio kwa waliokuwa wasimamizi wa uchaguzi Tanzania bila kutaja majina yao wasikanyage Usa.

Je, haya mazuio ya kutokanyaga Usa yanayowekwa dhidi ya watanzania yana manufaa gani kwa upinzani mpaka wafuasi na viongozi wakenue meno nje? Je toka Paul Makonda awekewe ribiti kwenda Usa upinzani hapa Tanzania umenufaika na nini?
Kwa nini unauliza upinzani umefaidika nini na huulizi wananchi wamefaidika nini?

Wapinzani specifically wakiwa hawajafaidika, ila wananchi wakafaidika, hilo litakuwa jambo zuri au baya?

Wewe unajua Makonda, kwa mfano, alikuwa anaenda Marekani kufanya nini?
 
Nje ya mada.
 
Sijakuelewa mdau, upinzani umepata faida zozote? Hapa Tanzania kuna ucommunist?
Ukiwa na uelewa mdogo hutauona faida walionayo upinzani dhidi ya serikali ya Ccm. Lakini faida ipo na ni kubwa.

1. Zamani Sisi Tz ndiyo tulikuwa tunawakosoa mataifa yanayokandamiza raia wao. Lakini Leo tunanyoshewa vidole sisi kuwa ni ma dictator na wakandamizaji.

2. Jingine kubwa ni kuwa taifa letu hasa uongozi wetu umejiondoa, kuwa miongoni mwa nchi zinazoongozwa ki staarabu. Badala yake ni kupoteza , kuteka na kubambika vyesi visivyo na ushahidi kisa kutofautiana itikadi !!

So hiyo yote ni faida. Kuitoa Ccm relini na kuifanya kuwa kama vyama vya kina Mobutu , Bokassa, Amin etc

Odhis *
 
Mada Kama hizi mkuu usitegemee kupata majibu ya maana, utaishia tu kuitwa MATAGA, MTAFUTA TEUZI, HUNA AKILI, MASIKINI n.k

Kwa kifupi tu niseme, wapinzani wa nchi hii wapo tayari litokee baya lolote tu ili mradi serikali ishindwe kutawala ili wao wapate madaraka, hapo walipo wanaombea mamia ya watu wafe kwa Corona ili wapate point ( kumbuka jinsi walivyo susia vikao vya bunge kwa kilicho daiwa kujiweka karanitini).

Hapo hata ikitoke shambulio la kigaidi na dar yote akaangamizwa kwa wakati mmoja watafurahi sana kwasababu utakuwa ni msingi mzuri wa wao kuenda Ikulu (kumbuka jinsi walivyo kuwa wakishangilia mauaji ya kibiti)

Hivyo vikwazo kwao wao ni mtaji wa kisiasa wenye lengo la kupata hoja dhidi ya serikali kwasababu hoja za kwanza kwasasa hazina mashiko tena.

Hivi sasa wanalalamikia kukatika katika kwa umeme lakini wakati huo huo wanapinga mladi wa umeme wa mwalimu Nyerere kuwa si kipaumbele cha taifa.
Wanaowanyanyasa Wapinzani ni kina nani kama siyo hao hao wanaojiita Watendaji wa Serikali?? Lissu alishambuliwa kwa risasi mchana kweupee hadi leo hakuna hata upelelezi wa danganya toto uliofanyika dhidi ya mashambulizi yale. Utafikiri hakuwa ni Mtanzania na wala hakuwa na haki ya kuishi. Sasa kwanini tusishangilie pale tunapoona nanyi mmeumizwa kama mlivyotuumiza??

Ndugu yangu acheni kujitoa ufahamu kwa mambo ya wazi wanaotendewa Binadamu wenzetu kisa tu ni Wapinzani. Upinzani uko kwa mujibu wa Katiba yetu lkn umegeuzwa na Watawala/CCM kuwa ni uhaini.

Wapinzani hatuna Majeshi wala mabomu risasi na hata Mahakama ya kupeleka malalamiko yetu kwani wote hao wako chini ya mtesi wetu. Hatuna chochote mikononi mwetu. Tulichonacho ni midomo tu. Acha tuendelee kupiga kelele na msipotusikia basi Dunia itatusikia. Mf ni kama nchi ya Marekani iliyosikia kilio chetu na kuanza hatua za awali. Ni furaha kwetu tena sana kwani tumegundua hatuko peke yetu.
 
Acha kashfa za kipuuzi. Nani anapata posho toka Ccm?

Kwa akili yako finyu Tanzania ina uhusiano mbaya na Usa?

Upinzani umenufaika nini na hivi vikwazo vya kuzuia watanzania kwenda usa?
Sio kuzuia watz sema kuzuia wasababishi wa uvurugaji wa uchaguzi kina jiwe,mahera,mtungi and others with their company.
 
Wanaopiga kura ni wananchi! Vyama vya Upinzani viwe na mikakati ya kuleta ushawishi kwa wananchi na hasa vijijini ambako kuna wapiga kura wengi.

Hivyo vikwazo vya kutokwenda Marekani havisaidii kujenga demokrasia. Ikizingatia ni swala BINAFSI. Kwani Marekani ni Mbinguni kwamba usipoenda ndo utakwenda kuzimu? Hao walioambiwa wasiende Marekani hadi leo wamepungukiwa nini?
Wanaiona kwenye youtube
 
Acha kashfa za kipuuzi. Nani anapata posho toka Ccm?

Kwa akili yako finyu Tanzania ina uhusiano mbaya na Usa?

Upinzani umenufaika nini na hivi vikwazo vya kuzuia watanzania kwenda usa?

1. Kura ya mpiga kura inamaana na thamani yeyote?

2. Je uchaguzi wa serikali za mitaa ulikuwa huru na haki?

3. Uchaguzi mkuu 2020 ulikuwa huru na haki?

4. Kunaumuhimu wowote kupiga kura? Kivipi
 
Hujakomaa kiakili za kidipromasia na kifalsafa,nk.

Nchi ikiwekewa vikwazo vya kiuchumi, serikali inapewa adhabu yake ili iache mambo mabaya inayofanya,kama kuminya demokrasia,uhuru,na pengine ufisadi.

Je,hivi vitu serikali ikikoma kuvifanya,vyama vya upinzani havitapata faida?

Na je,nchi kama Tunisia, Misri na Libya, wapinzani walipata faida gani baada ya Marais wa nchi hizo kupndolewa madarakani kwa nguvu na USA na majeshi ya NATO?

Wewe bado mtoto wa secondary school,haya mambo hata serikali ya Tanzania inayajua vizuri, siyo kama unavyojua wewe.Ukikua utayaelewa.
Mkuu umemweleza vizuri sana tatizo wanaammini kila anachoongea yule chizi wao aliyeshiriki kuuza nyumba za umma kwa mahawala zake kina kabula wa kebys na kujitwalia maghorofa ya NIC ambaye sasa anajiita mzalendo
 
Wanabodi wa JF hili ni bandiko linalohitaji majibu chanya kwa mustakabali wa taifa letu.

Maana kila kukicha wanasiasa wa upinzani wamekuwa na munkari wa kutaka nchi yetu iwekewe vikwazo hasa na taifa la marekani kwa kile wao wanafikiri kuwa ni msaada wa kwao ili kupata manufaaa ya kisiasa.

Mfano kipindi taifa ketu limegubikwa na matukio ya raia kutekwa na kupotea , serikali ya Usa wakati huo ilimuwekea zuio la kutoenda Usa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Kwa ufupi wapinzani walifurahi sana maana waliona sasa hii kwao ni adhabu tosha kwa watesi wao. Usa ilienda mbali na kuweka zuio la watanzania wote kutocheza bahati nasibu ya green card kwa watanzania wasiende Usa kusaka maisha.

Pia baada ya uchaguzi kuisha wapinzani wamelalama sana na cha kushangaza serikali ya Usa wakati huo iliweka zuio kwa waliokuwa wasimamizi wa uchaguzi Tanzania bila kutaja majina yao wasikanyage Usa.

Je, haya mazuio ya kutokanyaga Usa yanayowekwa dhidi ya watanzania yana manufaa gani kwa upinzani mpaka wafuasi na viongozi wakenue meno nje? Je toka Paul Makonda awekewe ribiti kwenda USA Upinzani hapa Tanzania umenufaika na nini?
Je! Wanasiasa wa upinzani ni vibaraka vya magharibi? HAPANA!

Lakini ikumbukwe kwamba hawa ni wanachama wa zamani wa chama cha CCM na kilichowasukuma kukihama chama ni kukosa madaraka waliyoyataka.

Lengo la upinzani wa kisiasa nchini Tanzania kwa kupewa nafasi za uongozi.

Vikwazo dhidi ya Tanzania hudhoofisha nguvu ya serikali ya kuamua ni nani atakayepata nini na kuipeleka kwenye meza ya mazungumzo na magharibi.

Matumaini ya upinzani ni kwamba, kwenye jedwali hili la mazungumzo, watapewa sehemu fulani ya nguvu.

Tangu kuidhinishwa kwa Makonda hawajapata chochote kwa sababu Magufuli amekuwa makini sana kwa kukwepa kutishia maslahi ya magharibi kwa kiwango kikubwa.

Vikwazo vilivyobaki havikutosha kuiumiza Tanzania hadi kukata tamaa ambapo CCM ingeona umuhimu wa kugawana madaraka na upinzani.

Kwa hivyo HAPANA! vyama vya upinzani havijapata chochote lakini vinatamani vikwazo vikali ili serikali ya Tanzania ikakate tamaa na kuwapa nguvu.
 
Back
Top Bottom