Kwanza kabisa bila shaka ww mweka maada dishi lako limeyumba vibaya mno, umejuaje ya kuwa hii inayumba kama ww mwenyewe hujaiona ikiyumba?Nmetumiwa hii inasemekana kama Dish limeyumba,utajulikana nmeona niweke humu Jf maana kuna % kubwa kuna watu fulani mshale wa Saa unacheza especialy Wale wa kijani team
OvaView attachment 689755