Tujipange, Umeme upo mwingi tu Tanzania.

Tujipange, Umeme upo mwingi tu Tanzania.

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
36,508
Reaction score
45,127
Kila siku umeme, umeme, oohh Dowans, Dowans jamani vyanzo tunavyo vingi sana vya nishati hii ni kujipanga tu.

Umeme - Bio Gas.png

Hakuna haja ya kuishi giza wandugu. :wink2:
 
Unyanyasaji kwa watoto, and deprivation of right to privacy!
Umepata wapi picha ya kituo cha watoto yatima cha St.MariaGorretti, pale kwa Sista Bernadetta, Parokia ya Yusufu wa Arimathaya!,.?
 
Du,hii sijaipenda,hawa watoto hawajatendewa haki,its better ingekuwa picha ya adults.
 
Unyanyasaji kwa watoto, and deprivation of right to privacy!
Umepata wapi picha ya kituo cha watoto yatima cha St.MariaGorretti, pale kwa Sista Bernadetta, Parokia ya Yusufu wa Arimathaya!,.?

PJ,
Kwanini wanawavalisha hirizi viunoni jamani hawa watoto?
 
Back
Top Bottom