Tujikuumbushe nyimbo ya mwambao za kitambo

Tujikuumbushe nyimbo ya mwambao za kitambo

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,227
Reaction score
9,356
wadau huu uzi maalumu kwa wapenzi wote wa nyimbo za mwambao za kuanzia mwaka 2000 kurudi nyuma hadi 1918 nimemkumbuka sana asu misambano,bi shakila,bi malika,mushrooms wazee wa embe dodo, , , tukumbushe nyimbo na waimbaje wake wadau wengine wapate kutokwa na machozi wakikumbuka enzi hizo za Y2K manjonjo
 
Nakumbuka wimbo wa Maulid juma-hamali wa maudhiko alaf Juma bhalo-gunia Alaf pia Bi.malika-ya Laiti na Fanya kul hali .....alaf pia tena Juma bhalo-kisimani na Pete .....na nyinginezo nyingi za Kutoka. Tanga Tanzania
 
gere.....cjui unaitwa hivyo,cmjui aloimba
na daktari wa wananjenje

'laambwa lambwa file
maharage yako jikoni nishayapika
nangojea sukari ya bwana haijafika'

pale pa kachiri kachiri kama ulikuwa hutak ata kujitikisa utajitikisa bila kupenda,km huna nyonga utatikisa ata tako,waso na tako tulitikisa mifupa.
 
Attachments

hehehe sorry we ni mdada?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom