Tujikumbushie kidogo

Tujikumbushie kidogo

Inaonesha umri wko bdo mdogo keshasema hpo "usitake nicheke mbona haipo? bdo unauliza tena kuna katuni ilikuwa ikiitwa " usitake nicheke"
hahahahaha nilikuwa sijamsoma fresh ila nimezikumbuka hizo
 
66a7eb62a7cd295d4bd640ef7dabfa00.jpg
 
Madenge alikuwa hajibu haraka anasubiri ubwabwajeeee halafu anashusha vitu vya uhakika.
 
Umeniondoa kwenye mawazo ya bashite weka na comredi kipepe
 
Back
Top Bottom