Tujikumbushie enzi za malani.

twende twende,mashavu kama mimba ya panya,pua kama kona ya sambusa,mwone mrefu hadi unauza karanga kwenye ndege,maskio kama upawa wa uji...twende twende,.....mnakumbuka zile za babaangu anaendesha mkoko 1,baba ako mkoko 2,mpaka mnafika inakuwa mkoko10,mara baba yangu one-moja,ukitegea mwenzako aseme babaake two-mbili(tumbili)

snochet umenikumbusha mbali!!
Moja nepa shauri ya mavi
Mbili...........
Ikifika nane ndio issue!!!!
 
Last edited by a moderator:
ila malani 9,kumi mtu alikuwa akikutingishia mdomo kama anasukutua,palikuwa panachimbika aisee!
Natamani kuwa kama zamani,natamani tena kurudi nyuma....
 
twende twende, bichwa kubwa kusikitika huwezi, baragashia ka ganda la kabichi, twende tumbo lina mapingili ka sanamu ya michelini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom