Tujikumbushe !

Tujikumbushe !

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,676
1421321275222.jpg
 
Aiseeee acha kabisa nilikuwa nampenda balaa, Nwanko Kanu.....
 
Yeah alikuwa mtaalamu. Alitoa kituko cha mwaka alipokuwa West Brom vs Middlesbrough baada ya kukosa goli la wazi kwa kuupaisha mpira akiwa inchi chache tu kutoka kwenye mstari wa goli. Ilikuwa "miss of the season." Pia world cup 98, aliniudhi sana katika mechi ya Nigeria vs Denmatk. Alibaki peke yake na Peter Scheimichel mara mbili akashindwa kufunga na kumpasia mpira mkononi, mwisho wa siku tukalala 4-1.

Alikuwa mchezaji mwenye kikanyagio/foot kikubwa Epl kipindi hicho.
 
Back
Top Bottom