PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 1,059
- 1,133
Wewe nawe sio kila kitu ni siasa, tumia akili kujadili aliyosema sio kutumia uchawaJamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.
Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwani yeye hajui kwamba watu wanatekwa, kuumizwa na kupotezwa halafu CCM wanasema wameenda kujificha, hao watekaji kumbe wanalawiti na kubaka piaSisi tumemuelewa sas unataka utuaminishe kitu gani
Sijafungua hizo video zako ila unamchafua kwa sababu kaongea ukweliJamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.
Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Gwajima kushindilieni gunzi kabisa na mnavyozidi kuhangaika ndiyo linazidi kuzama kudadadadeq zenu.Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.
Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
daddy achana naoInasikitisha sana
Hoja yako ni ipi,kama wewe ndo propagandist wa CCM basi hasara ni kubwa sana, hebu tukumbushe na ya mzanzibar,bibi michamboJamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.
Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Mkiambiwa ukweli mnajiona wapumbavuGwajima ni mpumbavu sana