Tujikumbushe wahadhiri wababe na kauli zao za kukatisha tamaa

Namkumbuka Rugambwa from MWENGE CATHILOLIC UNIVERSITY, huyu jombaa alikuwa anafundsha course ya 'education management' usipopata supplementary basi ujue umesha-graduate,na ikitokea umepata supplementary basi jiandae kwa carry over...huyu lecturer ni muhaya na ana majivuno hatar!
Yaan hadi Education nayo ukamatwe?
 
Nilikuwa napitia maoni ya wengi humu na kugundua eidha walisoma chuo kikuu ama wanasoma hivi sasa.
Nimesikitishwa na uandishi wa wengi na ninatamani wawe ni wale walio disco ama kama wapo chuoni,wasiruhusiwe kabisa kumaliza kwani kila dalili zinaonesha hawa watu ni janga kubwa wakiruhusiwa kupata hizo degree.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom