Tujikumbushe vituko vya Donald Trump

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,638
Reaction score
220,410
Watu waliandamana, nisikiavyo Trump alikua ndani ya nyumba yake akichungulia dirishani. Baada ya kumuonyesha shit holes zao waliondoka. Ni baada ya kusema developing countries are shit hole countries.
 

Attachments

  • IMG_4762.MP4
    3.6 MB
Chicago hii. Si ajabu wala hakuwepo humo ndani, ila ujumbe aliupata!
 
Don't bring that with me..
Don't even go there..

Hahaha jamaa bonge la comedian
Hapa alikuwa anam attack Biden kwenye dibate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…