ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Ujue Kuwa katika Nchi Maskini kama Tanzania Ni karaha sana! Karaha Kubwa ni Ugumu wa maisha nafikiri ni neno linalo beba vitu vyote! Lakini hata Watu waliopo nchi zilizo endelea kama G8 na G20 wanashangaa ni kwa namna Gani watanzania Tunakuwa na Maisha marefu ilihali tu wa Maskini!! Ukiwaona Wanavyo ishi watanzania Unaweza sema Hawana shida wala Sio maskini! Kwa kibena kule kwetu huwa tunasema VANGANYALA SIDA au VIHELA SIDA! Zamani ilikuwa rahisi sana Kumuomba mzungu hela na akakupatia kwa sababu waliamini sisi ni maskini wa kutupwa na tunahitaji misaada! Lakini siku hizo hizo mambo zimepungua....Kwanini;? Watanzani tunaishi maisha ya Furaha kupitiliza japo tunashida kuna vitu vinatokea hapa tanzania kila ukikumbuka unajikuta unacheka sanaaa!!
Leo naomba tujikumbushe vitu vilivyo vumaa Sanaaa lakini Vimepotea ambavyo kila nikikumbuka nacheka sana
1.DAUDI BASHITE-Hili bado ndo kwanza linachipukia limevuma sanaaaaa....linaendelea suala la vyeti feki na sasa linamkuta MAKONDA japo naamini litapita na Watanzania watasahau kama kuliwahi kuwa na hiki kitu!
2.BABU WA LOLIONDO-Hili lilivumaa sanaaa Dawa inatibuagonjwa yote kwa sh.500 daaaa liliongelewa kila sehemu ila kila nikikumbuka sahizi Naishia kucheka sana
2.POPO BAWA-Lili Tokea Miaka hiyo duuuu hadi babu zetu waliogopaa sijui kama lilikuwa na ukweli Asilimia ngapi ila nalo lilipita sahizi kimya kama hamna kitu kama hicho
3.USAJIRI WA LINE-Duuuuu nikikumbuka foleni ile tuliyo panga siku ya mwisho kusajiri line daaaa najiona kama nilikuwajinga sanaa ila nalo limepita na Maisha yanaendelea na Simu zinapigwaa....liliongelewa hiliii duuuu
4.SIMU FAKE KUZIMWA-Nafikiri kuna baadhi ya watu washasahau kama hili liliwahi tokea yaani liliongelewa Takribani Miezi mingapi sijui ila sahizi kimyaaaa sijui kama simu Fake hamna tena
5.UKUTA-Hahahaahaha wazee wa UKUTAAA tarehe moja September heheheheh sahizi hata ukiwaambia kama kuna kitu kinaitwa UKUTA WASHA sahau kabisaa kama kuna UKUTA na Siku hiyo nishasahau kma Jeshi liliazimisha siku yake
6.MAFURIKO + MABADILIKO!-Ile Tunazungusha mikono Huku Tukiimba LOWASSA mabadiliko LOWASSA mabadiliko Now pyeeeeeeeee tusha sahau hata kama LOwassa Yupo!
7.SUKARI-DAAAAA walisemaaa weeee walisemaaaaa sahizi duuu
8.BAO LA MKONO-Hhehehehe hili sitaki hata kuliongelea
Kipi kilikukosha? Tushikirikishe na wewe chako mambavyo kila ulimbuka unaishia kuchekaaaaaa sanaa chochote kile
WAISOME namba hii ndio baba Lao Ilivuma,Inavuma na itaendelea kuvuma
Ama kweli Tanzania sihami!